Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
hiyo ndo shida yetu introvert...ni kujifungia ndani tu tutajua wapi mambo mengine!!!

ONA HUYU!
 
Back
Top Bottom