Acha uongo wewe watu si wajinga kama wewe humu danganya wajinga wenzioHajui huyo,mimi miaka 10 iliyopita kuna mahali ndani ya Dar nilinunua kiwanja cha kujenga nyumba moja kwa milioni 4.
Sasa hivi kwenye location hiyo hiyo kiwanja kama hicho watu wanauza kwa milioni 30 tena hadi najilaumu kwa nini nilinunua kiwanja kimoja tu ina maana ningenunua viwanja 5 sasa hivi ningeweza kuviuza vyote kwa thamani ya milioni 150.
Sasa ni bidhaa gani nyingine ambayo baada ya miaka hiyo bei inapanda mara 10 yake bila kutumia costs zozote baada ya manunuzi
Utani huongelewa kwenye majukwaa haya, kwanini asiipeleke muzaha yake chit chat?Nyie mnao kaza shingo kujibizana na huyu dogo nimewadharau sana. dogo anatania halafu nyinyi mnamjibu seriously.
Wewe unaishi kwenye nyumba ya nani?hayo masomo yenu ya CBE na TIA yanawapoteza sanaAsilimia kubwa wanaojenga nyumba zao wamejenga sababu ya societal expectations. Nyumba ya kuishi kimsingi sio asset bali ni liability.
Ww umekopi jina la Extrovert umeligeuza tu. Mwenzako ana akili ww huna hata kidogoAisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Ila kama kuna ukweli...natamani ushauri wako wauchukue ili tuendelee kupiga vijisenti vya kodi kwenye vibanda vyetu.Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Uongo kwamba sina kiwanja au uwongo kwamba Dar hakuna viwanja vinauzwa bei hiyo?be specificAcha uongo wewe watu si wajinga kama wewe humu danganya wajinga wenzio
Jamaa thread zako hata kama una stress inakubidi tu ucheke!!Kwahiyo We ununue Kwa Bei ndogo halafu umpate mjinga Gani wa kumuuzia Bei kubwa mda huo huo
Mwenzako anajiona Genius tena bonge la msomi.Jamaa thread zako hata kama una stress inakubidi tu ucheke!!
Na ikiwa bahati yake wakimuheshimu sana watampeleka kwenda kumuhifadhi MirembeKwa akili hizo inabidi uwe makini sana la sivyo watu wanaweza wakakuchukua wakakuweka kwenye sufuria wakijua ni kiazi.
Unaweza unazo akili?Ww umekopi jina la Extrovert umeligeuza tu. Mwenzako ana akili ww huna hata kidogo
Wadanganye wajinga wenzio sio mimiUongo kwamba sina kiwanja au uwongo kwamba Dar hakuna viwanja vinauzwa bei hiyo?be specific
Siku moja ukipata muda tembelea mbweni ujifanye kama una uhitaji wa kiwanja halafu uulizie bei baada ya hapo toka nduki urudi kwa shangazi yako unakokaa utulie sebuleni ukiwa umeshikilia remote ya TV halafu ufungue JF utupe mrejesho.
Nina mashaka hapa huenda ikawa tunapoteza nguvu zetu kubishana na mtoto wa miaka 17 hakajui hata mambo yanavyokwenda kamemezeshwa tu maskini ya Mungu
Ungekua na akili usingejiita mbu umejiita Hilo jina baada ya kujiona kichwani kwako ni kopoMwenzako anajiona Genius tena bonge la msomi.
Katika hii dunia ukiwa mkurupukaji au ukikosa washauri utaaibika sana bila kujijua kama unaaibika ila watu wanakuwa wanachekea tumboni kimyakimya ili usishtuke uendelee kufanya vituko
Speculation ipo kwenye hizo biashara zenu mnazozisifia kwamba zina mzunguko mzuri wa pesa ila real estate value haijawahi kurudi nyuma abadani.Africa hasahasa nchi zetu hizi kuna speculation tu sio appreciation.Magumashi mengi sana, information asymetry imetawala soko