Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Tumia akili. Wanaonunua ardhi hawaitumii kama unavyofikiria. Nenda Morogoro kuna mashba makubwa ya mkonge ni kama hayana wenyewe. Baada ya hapo jaribu kuchunguza wanaomiliki haonmashamba ni akina nani na wanafanya biashara gani.
Vivyo hivyo wanaowekezankwenye kujenga nyumba angalia wanafanya biashara gani kuingiza pesa kila siku. Kinachofanya ardhi kuwa na thamani ni ile kutohamishika kwake kunafanya iwe rahisi kwa mmiliki kupata access ya fund kwenye taasisi za fedha.
 
𝐍𝐨 𝐫𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦 𝐧𝐨 𝐞𝐥𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧,𝐧𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢 𝐳𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐰𝐞 𝐫𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦𝐬
 
Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
HAo wamarekani wangekua nchinjama hii ya kwetu wangenunua ardhi mpaka ikaisha. --- elimika
 
Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
We aliyekuzaa amepata hasara. Hiyo nyumba umejenga juu ya mti? Huo mti umemea kwenye nini. Hiyo Marekani unayoitaja matajiri wakubwa ni wakulima. Vijana wa siku hz mna udumavu mkubwa wa akili
 
We mjinga mpaka umezeeeka una utajiri gani au ndio umezeeeka na ujinga wako
 
Mleta mada unaelewa maana ya Mali(Asset)?
Unaelewa maana ya Appreciation? Unajua kama ardhi inakufanya ukopesheke?
Yaani una cash, badala ya kuitumia hiyo cash kwenye biashara wewe unaenda kununua ardhi ili ukakope hela?
 
Umekosa malezi bora ya wazazi wawili sio kosa lako ndio maana unatukana hovyo mimi siwezi kutukana kwa sababu nikikutukana nawakosea sana walionilea na kusema heshimu kila mtu..
Mimi nimekuambia isanga Kwa lugha yetu ni mavi nimetukana wapi hapo mshamba wewe
 
Back
Top Bottom