Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Hapana, ni upuuuzi kwenda kununua michanga ukitegemea utakuja kuuza bei kubwa miaka ijayoNyie mnao kaza shingo kujibizana na huyu dogo nimewadharau sana. dogo anatania halafu nyinyi mnamjibu seriously.
Kuliko bia?nimejua kwann hawataki kuhalalisha bangi. madhara ni makubwa mno
Umewahi kuishi America?Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Sawa sawa mtoto wa mjini matusi yangekua yanaua tungekua tushaoza mazee..Mimi nimekuambia isanga Kwa lugha yetu ni mavi nimetukana wapi hapo mshamba wewe
Bia haina tatizo lolote. we huoni madhara ya bangi hayo??Kuliko bia?
HujielewiSawa sawa mtoto wa mjini matusi yangekua yanaua tungekua tushaoza mazee..
We nae mshamba kweli ukitaja matajiri hao gsm na bakhresa nao utawaita matajiri hao ni makapuku wanaowatambia makapuku kama weweUmewahi kuishi America?
Kama MTU kama GSM au bakheresa, au, mengi anajenga nyumba yake ya kuishi, sembuse we kapuku!
Ardhi inaongezeka thamani kila siku, sio kama gari(simaniishi magari kama mabasi ya shabby, namaanisha vi vitz, ist,harier,mnazonunua kwenda kulia bia.)
Kuna tofauti kubwa, mwajiriwa, mwenye salary milioni 2,akinunua ki vitz, cha kwendea kazini kwa mkopo, na kijana kama harmonize akinunua range ya 150M, kwa, mfanyakazi hiyo gari ni liability haiingizi pesa, inatunzwa na salary, Ila kwa kondeboy, gari ni assets,k inakuza profile, na image, yake inayohitajika kuingiza pesa
Punguza sumu hizo unazotumia...Hujielewi
Isanga Kwa lugha yetu ni maviPunguza sumu hizo unazotumia...
Majibu ya majani haya harafu tumbo lipo tupu..Isanga Kwa lugha yetu ni mavi
Sawa ila wewe ni mavi Kwa lugha yetuMajibu ya majani haya harafu tumbo lipo tupu..
Mi ni muhogo, unautaka nikupe muhogo?We ni kiazi?
We huna hela tulia. Usiwapangie matumizi watu fedha zaoAisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Unataka muhogo?Mi ni muhogo, unautaka nikupe muhogo?
Inawezekana kabisa mkuuKwahiyo We ununue Kwa Bei ndogo halafu umpate mjinga Gani wa kumuuzia Bei kubwa mda huo huo
How ikose madhara?Bia haina tatizo lolote. we huoni madhara ya bangi hayo??
Swala la ardhi na nyumba ni Asset duniani kote.Tatizo hujui kuwa hujui.
Epuka sana kudhani kuwa unaelewa na kujua kila jambo.