A view to a kill
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 2,213
- 1,272
Kaulize bei ya kiwanja Kariakoo leo na ulinganishe na ilivyokuwa miaka ya
Kwa Tanzania ardhi sio kihivo ila kuna maeneo ni mali,Ardhi ni mali
Kaulize bei ya kiwanja Kariakoo leo na ulinganishe na ilivyokuwa miaka ya
Kwa Tanzania ardhi sio kihivo ila kuna maeneo ni mali,Ardhi ni mali
Wewe ndio utakuwa huna akili hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kutoa post ya upotoshaji wa wazi.Huna akili
Achana naye jamaa ni mpotoshaji atakuwa hana akiliHao wamarekan unaowaongelea waulize vizuri biashara ya real estate inavyowatajirisha halafu urudi hapa
Nje ya Tanzania?Kwa Tanzania ardhi sio kihivo ila kuna maeneo ni mali,
Dunia tunapita, kwa nini ujenge njiani?Kwahiyo tusijenge nyumba sio?
Hoja ya kijinga sana ,Dunia tunapita, kwa nini ujenge njiani?
Changamoto kubwa ya hizo nchi kwa wananchi wake ni madeni. Utakuta mtu analipwa mshahara mkubwa lakini ¾ ya ela yake inalipa nyumba na gari..Huko USA gharama ya ardhi ni kubwa sana, usione wengi wanapanga au kununua majengo kwa mkopo ukawaona wajanja, hawawezi kumudu gharama za ujenzi
Mtoa mada nilivyomuelewa mimi kwake yeye duniani tunapita so hakuna ulazima wa kumiliki kitu chochote cha thamani hata gari Kwani utakufa na utaliacha gari nalo si unaweza kukodi tu .Ukisoma comment utaona wengi wako against na post ya jamaa ila wanashindwa kujua kitu kimoja
Gari linaweza kuwa na thamani sana kwako na kwa mwingine ikawa sio chochote ni kheri atembee kwamguu, vivyo hivyo kwenye ardhi.
Dogo umekula?Acha ujinga
We umekula?Dogo umekula?
Kwa mawazo haha,acha ccm iendelee kutawala ,mitano tena kwa mamaaaAisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Kuanza ama kuanzisha maisha kwenye pagale mtu hawezi kuishi milele hivyo.Ndio umeandika nini yaani binadamu uishi kwenye pagale mpaka kifo useme ni akili timamu
Kwani kujenga ni lazima?Hoja ya kijinga sana ,
Hata kama tunapita jitahidi basi upitie.
Acha habari zako wewe watu kibao wanafia kwenye mapagaleKuanza ama kuanzisha maisha kwenye pagale mtu hawezi kuishi milele hivyo.
Unapohamia kwenye nyumba unfinished inakuwa ni rahisi kupata motisha ya kumalizia.
Mkuu kupanga ama kuishi 'quaters' ni udhaifu, labda uishi katika mazingira hayo kwa malengo maalumu, huku ukiwa na kwako 'private', usipuuze hili nalokwambia mzee wangu.
Hauna guarantee na Mungu kusema fursa ya kipato uliyonayo leo utaendelea kudumu nayo milele.
Ndiyo maana tunachukua mifumo hii ya kupenda maisha ya kujitegemea baada ya kuona wenzetu wakidhalilika, hauwezi jua ya kesho ndugu yangu.
Unataka utawale wewe au acha ccm atawaleKwa mawazo haha,acha ccm iendelee kutawala ,mitano tena kwa mamaaa
Haahaa apo umenikumbusha kuna jamaa alipanga mahali sasa bana mambo yakambana akawa hana ela ya kulipa. alichofanya akafunga chumba akasepa mazma akakaa sana uko hadi mwenye nyumba ikabd avunje pale na kutoa vile vitu vya yule jamaa chini ya uangalizi wa serikali ya mitaa. na sidhan kama yule jamaa alirudi tena maana deni lilishaongezeka sana.Siku huna hata chumvi ndani mwenye nyumba kakusimamia utoe visankate vyako nje ndiyo utajua kuwa ardhi sio mali, kama hutaenda kwenye shamba la mtu uombe kuweka full suit ya kibanda kwa muda hapo!