Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Unashauri nini kiongozi? watu waache kujenga wote tukapange au?😇🤔sijakupata.
 
Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Hujui lolote kuhusu ardhi wewe,nilinunua eneo mwaka 2005 kwa laki 6,2022 nimekata viwanja saba kila kiwanja niliuza 15m,unaijua ardhi wewe?au hujapata faida yake,tuache
 
Haaahaa huyu ni junior amekalia kochi alilonunua babake apo kaachiwa simu achezee anangoja mechi ya simba na kmc 🤣🤣🤣
 
Haahaa apo umenikumbusha kuna jamaa alipanga mahali sasa bana mambo yakambana akawa hana ela ya kulipa. alichofanya akafunga chumba akasepa mazma akakaa sana uko hadi mwenye nyumba ikabd avunje pale na kutoa vile vitu vya yule jamaa chini ya uangalizi wa serikali ya mitaa. na sidhan kama yule jamaa alirudi tena maana deni lilishaongezeka sana.
Atakuwa bado yupo kwao, hivi viwanja vya laki moja na laki 2, kuna watu wamenunua na kuweka makazi tayari wanaishi haijarishi ni porini vipi mtu katoka Dodoma kaja kutafuta maisha . Akikua ataacha
 
Mtoa mada nilivyomuelewa mimi kwake yeye duniani tunapita so hakuna ulazima wa kumiliki kitu chochote cha thamani hata gari Kwani utakufa na utaliacha gari nalo si unaweza kukodi tu .
Inaonekana ni mtu yupo desperate anahitaji ushauri wa kisaikolojia .
Mtazamo wake wa maisha sio mzuri kabisa ni wa kiupotoshaji
Kwani ndugu hizi material things ni kweli zina umuhimu kwa kila mtu
 
Mleta mada unaelewa maana ya Mali(Asset)?
Unaelewa maana ya Appreciation? Unajua kama ardhi inakufanya ukopesheke?
Kama una Deni songesha au mpower hukopesheki ...nankama huna cash flow bank statement hukopesheki..
 
Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Ardhi ni mali mkuu ina appreciate very fast na kizazi chako kitaendelea kutajirika only kama uliwwkeza kwenye ardhi
Nakupa mfano, mikocheni kuna jamaa yangu alinunua 10m miaka ya 90 sasahivi as we speak ile sehemu imekuwa invested na gorofa worth 20 billions so as we speak yeye ni billionaire from 10m investment only
HAta kwenye dini tumeambiwa tuwekeze kwenye ardhi mungu sio mjinga kusema hivyo
HUonagi makanisa wananunua maviwanja makubwa huko porini kwa bei karibu na bure ila in few years nyie ndio mnaenda kuweka mji na wao ndio wanakuwa na ardhi kubwa kwa eneo husika
Nakupa mfano mwingine, hapa mbezi beach ya chini mwaka 2001 tu kuna jamaa yupo ulaya alinunua kiwanja 30m sasahivi ile sehemu watu wamefika 400m ingawa hauzi anajenga apartments
Wekeza kwwnye ardhi hata porini nunua tu
 
Umewahi kuishi America?
Kama MTU kama GSM au bakheresa, au, mengi anajenga nyumba yake ya kuishi, sembuse we kapuku!
Ardhi inaongezeka thamani kila siku, sio kama gari(simaniishi magari kama mabasi ya shabby, namaanisha vi vitz, ist,harier,mnazonunua kwenda kulia bia.)
Kuna tofauti kubwa, mwajiriwa, mwenye salary milioni 2,akinunua ki vitz, cha kwendea kazini kwa mkopo, na kijana kama harmonize akinunua range ya 150M, kwa, mfanyakazi hiyo gari ni liability haiingizi pesa, inatunzwa na salary, Ila kwa kondeboy, gari ni assets,k inakuza profile, na image, yake inayohitajika kuingiza pesa
Chifu kwahyo tusinunue ist za kwendea kazini?
 
Umewahi kuishi America?
Kama MTU kama GSM au bakheresa, au, mengi anajenga nyumba yake ya kuishi, sembuse we kapuku!
Ardhi inaongezeka thamani kila siku, sio kama gari(simaniishi magari kama mabasi ya shabby, namaanisha vi vitz, ist,harier,mnazonunua kwenda kulia bia.)
Kuna tofauti kubwa, mwajiriwa, mwenye salary milioni 2,akinunua ki vitz, cha kwendea kazini kwa mkopo, na kijana kama harmonize akinunua range ya 150M, kwa, mfanyakazi hiyo gari ni liability haiingizi pesa, inatunzwa na salary, Ila kwa kondeboy, gari ni assets,k inakuza profile, na image, yake inayohitajika kuingiza pesa
Chifu kwahyo tusinunue ist za kwendea kazini?
 
Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Mimi nitakuona una akili siku ukianza kulala nje huku umeshikilia maburungutu yako ya pesa au nikikuona unalala nje huku umeshikilia slip za benki ila kama unalala ndani kwenye nyumba walizojenga wenzako ambao unawacheka basi itoshe kusema huu uzi ni useless.
 
Mpaka mbu umegundua nyumba ni muhimu basi Uzi ufungwe,hamna namna
 
😀 😀 😀do you know how real-estate value appreciate????
Hajui huyo,mimi miaka 10 iliyopita kuna mahali ndani ya Dar nilinunua kiwanja cha kujenga nyumba moja kwa milioni 4.
Sasa hivi kwenye location hiyo hiyo kiwanja kama hicho watu wanauza kwa milioni 30 tena hadi najilaumu kwa nini nilinunua kiwanja kimoja tu ina maana ningenunua viwanja 5 sasa hivi ningeweza kuviuza vyote kwa thamani ya milioni 150.
Sasa ni bidhaa gani nyingine ambayo baada ya miaka hiyo bei inapanda mara 10 yake bila kutumia costs zozote baada ya manunuzi
 
Back
Top Bottom