Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Bado haujavuka bro , usitukane mamba.
 
sio lazima upate ajali

kuna boda boda mmoja namjua huyo alikuwa boda boda wa maza tokea zamani sana, nikiwa mdogo sana
anafanya kazi yake kiheshima, ana mke na watoto watatu, na ni mzee wa kanisa
Hiyo sio kazi ni uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…