Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Yaani hiki chombo Cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda Chali Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe ni uchafu yaani unakufa kisa buku si ujinga huu
Bado haujavuka bro , usitukane mamba.
 
sio lazima upate ajali

kuna boda boda mmoja namjua huyo alikuwa boda boda wa maza tokea zamani sana, nikiwa mdogo sana
anafanya kazi yake kiheshima, ana mke na watoto watatu, na ni mzee wa kanisa
Hiyo sio kazi ni uchafu
 
Back
Top Bottom