Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Kumbe unavaa pampas pole sana mzee ndio maisha hayo kikubwa hawajakuua 🤣🤣🤣🤣
Naona Ushaingia kwenye mfumo, bahati mbaya mimi sio mdau wa huduma unayoitoa. Kawachekee mabasha zao unakochekaga.
 
Upo kwa shemeji yako aliko olewa dada yako na wewe unavimba humu akili huna wewe.
Tafuta hela masikini wewe ndio maana nagonga sana wake wa bodaboda sababu ni masikini marofa🤣🤣🤣🤣
 
Unajua bwana dunia hii kila kitu unachokiona kinamaana ya chenyewe kuwepo vile unavyokiona. Chukulia mfano boda boda, unaweza ukawa huipendi pikipiki na pikipiki hiyo hiyo unayoichukia ukakuta ndio inakuingizia mamilioni ya fedha.

Chukulia mfano una biashara, sasa wafanyakazi ili wawahi kazini ni lazima wapande bonda waje kazini, wanafanya kazi na mwisho wasiku unapata chochote kupitia ufanisi wa kazi yao. Hivyo hivyo kuna mteja pia anataka bidhaa yako kwa haraka inabidi achukue boda chap na kuja ofisini kwako. Kwaiyo unakuta unatengeneza pesa nyingi kwa kitu ambacho hukipendi sema , pasipo wewe kujua.

Kwaiyo kila kitu kina umuhimu wake hata kama wewe kwa wakati huo huoni umuhimu wake
 
 
Bodaboda Haina umuhimu wowote
 
Hiyo hela elfu 30 Kwa siku inapatikana fresh
Kikubwa ni kuijenga abiria wa simu
Na wale wanaokuja kijiweni unapata huo mkwanja fresh tu
 
Kama unaogopa kufa hata gari linauwa, kinachotakiwa ni bodaboda kujitambua. Fanya utafiti utagundua kuna waliotoboa kwa kutumia bodaboda. Naona utalaani hata bajaji.
 
M
Mzee wangu umeenda mbali sana, last 2 weeks Sauli amefariki Kwa ajali ya range, before jamaa alikua mwendesha pkpk mpaka ameshiriki mashindano ndo maana kwenye mabus yake alikua anaweka pkpk.

Huyu jamaa Kwa ufupi anadharau na ubongo wake mdogo, ndo wale masikini wakipata lazima ujue amepata maana hakuwa kwenye hilo fungu.!

Kuna wazungu wana pesa chafu lkn utakuta wanaendesha pkpk na they feel Happy
 
Wewe kweli kilaza sasa sauli alikua bodaboda hivi unaakili timamu kweli huo umasikini wako wa bodaboda usijipe moyo kwasababu sauli alikua anazikubali pikipiki na wazungu wanaend jiulize mbona alikua hakai kijiweni kusubiri buku kama wewe Kwa wewe unaendesha pikipiki sababu ya njaa imekuzidi kutokana na umasikini wako huna lolote
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…