Comment yako inathibitisha kua wewe umesha jikatia tamaa ya maisha,unaona mtu kua Abroad ni jambo kubwa sana,unaona ni kitu cha ajabu sana,
Kitu ambacho wewe unaona ni cha ajabu,basi kwa wengine ni cha kawaida sana,
Wewe ni masikini,hilo halina ubishi,
Mtu mwenye maisha yake,hufikia stage akaona kua maisha sio hela tu bali ni ile hali ya Humanity,kusaidia watu,
Kwasasa hivi huwezi kunielewa ila nina uhakika,watu wenye good life watanielewa vizuri sana,
Maisha hayapo hivyo kijana,wengine tumefikia stage ya kusaidia wengine ndipo tunapata furaha na amani ya moyo.