Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali.

Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya bodaboda, naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe siyo yaani unakufa kisa buku si ujinga huu.
kwahiyo nabii Lema alikuwa sahihi siyo
 
Hii Kazi Ina risk Sana nimeona yule graduate wa ARDHI alivyopata ajali nimeumia sana.
 
Ila ukisha tumia pesa,hutakiwi kulia lia na kulalamika,huo ni umasikini
Hiyo ilikua 2022 Sasa hivi Mimi ni big boss endelea kuumia ndio maana nauchukia umasikini sitaki kuhusikia ni laanaaa maana ilikua pesa ya nyanya tu Ile m 50 lakini niliumiasababu ilikua ni ufukaraa
 
We huna hela fala wewe unadhani wenye hela wanajitapa humu mitandaoni. Wewe ni kapuku tu kwanza wenye hela hawadharau kazi ya mtu .kubali kuwa umekosea fala wewe
Wewe ndio fala umekosa hela na unaendesha bodaboda hiyo sio kazi ni uchafu utakufa masikini na njaa zako boya wewe 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo ilikua 2022 Sasa hivi Mimi ni big boss endelea kuumia ndio maana nauchukia umasikini sitaki kuhusikia ni laanaaa maana ilikua pesa ya nyanya tu Ile m 50 lakini niliumiasababu ilikua ni ufukaraa
Nani kakwambia kua mimi naumia? Niumie kwa ajili ya kitu gani?

Wewe ni masikini ila umeamua tu kujifariji kwa maneno,

Njoo ubebe "Box" huku mbele ili ukamate hela ya maana ili uache maneno na sifa za kimasikini.
 
Tafuta hela masikini wewe njaa zako usilete hasira kwangu
 
Wewe ni masikini,wakubwa tumekuelewa,mimi nilishavuka hiyo stage kitambo sana,sasa hivi nawainua na kuwasaidia wengine,siwezi kumponda Binadamu mwenzangu kisa kipato,

Life is more than that,grow up young kid and u will realize a lot.
 
Wewe ni masikini,wakubwa tumekuelewa,mimi nilishavuka hiyo stage kitambo sana,sasa hivi nawainua na kuwasaidia wengine,siwezi kumponda Binadamu mwenzangu kisa kipato,

Life is more than that grow up young kid and u will realize a lot.
Umeona Sasa masikini mlivyodata na maisha jitu kama wewe lipo sigimbi huko limechanganyikiwa na maisha linaota lipo ulaya eti linasaidia wenzie tafuta hela masikini wewe acha kuota ndoto mchana huu hahahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shukuru una kazi inaeleweka (connection inayokupa hela)
 
Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali.

Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya bodaboda, naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe siyo yaani unakufa kisa buku si ujing

Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali.

Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya bodaboda, naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe siyo yaani unakufa kisa buku si ujinga huu.
Aise matajiri mna dharau sana 😂😂
 
Umeona Sasa masikini mlivyodata na maisha jitu kama wewe lipo sigimbi huko limechanganyikiwa na maisha linaota lipo ulaya eti linasaidia wenzie tafuta hela masikini wewe acha kuota ndoto mchana huu hahahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Comment yako inathibitisha kua wewe umesha jikatia tamaa ya maisha,unaona mtu kua Abroad ni jambo kubwa sana,unaona ni kitu cha ajabu sana,

Kitu ambacho wewe unaona ni cha ajabu,basi kwa wengine ni cha kawaida sana,

Wewe ni masikini,hilo halina ubishi,

Mtu mwenye maisha yake,hufikia stage akaona kua maisha sio hela tu bali ni ile hali ya Humanity,kusaidia watu,

Kwasasa hivi huwezi kunielewa ila nina uhakika,watu wenye good life watanielewa vizuri sana,

Maisha hayapo hivyo kijana,wengine tumefikia stage ya kusaidia wengine ndipo tunapata furaha na amani ya moyo.
 
Maisha hayana huruma masikini wewe unamtilia nani huruma hapa boya wewe tafuta hela utakufa na umasikini wako au njoo nikupe ajira ya kufuga mbwa wangu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Endelea tu kujifariji hapa JF ila huwezi kuubadili uhalisia,as u grow up,one day utakuja kujua what's life.
 
Huyu ukimsoma kwa makini,inaonekana kabisa ni mchovu,choka mbaya,

Mtu mwenye hela atajulikana tu hata kwa kauli zake.
 
Back
Top Bottom