Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Amemfukunyua Daudi Bashite mpaka basi! Ningekuwa mimi ningeomba po!
 
Kumbe hata mange mwenyewe humjui, mume amtolee wapi? Kazalishwa kakimbiwa na mume
 
Mimi ex waifu alishanifumania kabisa laivu kitandani mwetu nilimpiga saundi had akakubali alikuwa anaota ni illusion. Hadi Leo anadhani hivyo. Mwanaume uwez kubali mambo ngeseki ngeseki lazima Uwe mbishi
Duh!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mwanaume asiyechepuka
hahaha jifarijitu na mazambi yako kuchepuka si ngozi et unazaliwa nayo tabia ya ufuska ni mtu mwenyewe.Maana aliyetuumba amesema ktk vitabu vake mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe.So tamaa yako ndo tabia yako usisingizie wote .we sema mimi wapo ambao hatuchepuki so tupe heshima zetu na sisi acha mawazo ya vijiweni.
 
Tatizo la Watu wengi kinacho tumaliza ni unafiki. Lakini kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki tuendelee hivi hivi, Ila ukweli unabaki pale pale.Iniaonrkana ni dhambi kuita koleo SPADE , mnataka kuliita koleo BIG SPOON, tuendelee hivyo hivyo. Over
 
mchepuko kamwulizie jamaa wako ambae kavuka mpaka hadi kwenye elimu katafuta "cheti mchepuko"
 
Mume wangu hachepuki.
Hiyo imani ni nzuri kuwa nayo japo haifai. Siku ukija kugundua anachepuka, unaweza kumdhuru vibaya sana au kujidhuru wewe mwnyw. Amini kwmb anachepuka kwa sababu hata wanaochepuka ni wanaume kma yeye tu.Yawezekana yupo smart sana kwny kuchepuka na anafanikiwa sana kuchepuka bila wewe kujua.

Na unapojiona umefanikiwa kuchepuka bila mwenzako kujua na yuko poa tu na ww, hatutakiw kuwaona wenzetu ni wajinga kwamba hawajagundua, ila inatakiwa tuone kwamba wanatupa uhuru zaidi ya tunaouhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…