Hakuna Mwanaume atahangaika na mwanamke kama yuleKwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli?? Yani nina wasiwasi huyu kama ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpaka lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpaka idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako.
Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sana mambo aisee. Khaaa...!!!
Habari zipi za kijasusi?Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli?? Yani nina wasiwasi huyu kama ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpaka lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpaka idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako.
Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sana mambo aisee. Khaaa...!!!
Kaka eeh, mbn unatoa statement yenye utata..? Nadhani wewe ni ME, sasa umejuaje kama ni GOVI..???
Nway, NO COMMENT..!!![emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwanaume atakayeweza kuishi na mange! Labda mugabe
Daah, nafurah unavyoweza kumjudge mtu kwa kumuangalia tu na kujiaminisha kwmb unachokihisi ndio cha kweli. Siwez kubisha, labda unamjua kiundani zaidi mume wa huyo dada.Asilimia kubwa ya wazungu haswa Wamarekani ni magovi so is Mange's husband na anaonekana tu.
Hata wale ambao jogoo hawiki??Hakuna mwanaume asiyechepuka
Kwenye suala la kuchepuka hua ni inshu nyingine.Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli?? Yani nina wasiwasi huyu kama ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpaka lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpaka idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako.
Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sana mambo aisee. Khaaa...!!!
Labda third mama itakuwa sawa unamshushia hadhi.Kwa kifupi hana mume. Ni single mama
Anataka vyeti vya bashite huyo pamoja na yule msukuma mapepo, sasa najiuliza tu kama wakipewa vyeti halafu wasiporizika wakasema hajaenda jando sijui hapo wimbo utabadilika from tunataka vyeti to........nawaza tu jamaniSijawah kumfuatilia, na wala INSTAGRAM siingiagi na wala sijawahi. Ila kila kukiwa na HOT NEWS hapa nchini, kwny magroup ya watsapp watu wanarusha comments zake nyng sn, mpk unaogopa aisee.
Omba radhi tafadhalitrue,kama yupo nina uwalakini na uanaume wake 😵😳😱
Daah, nafurah unavyoweza kumjudge mtu kwa kumuangalia tu na kujiaminisha kwmb unachokihisi ndio cha kweli. Siwez kubisha, labda unamjua kiundani zaidi mume wa huyo dada.
Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app