Wewe mbona jina lako umeanza na herufi kubwa??? anyway ni imani tuUkitamka je what if nikaweka m ndg maana itachange?
Ni kanuni ya uandishi,majina huandikwa kwa herufi kubwa,hata wewe I'd yako,umeandika kwa M kubwa hukuandika kwa m ndogo.Rudi shule ukajifunze up ya,ikiwa hujui hata jina linaandikwa vipi.
Kumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
yaah watetezi wa mungu wanazingua sanaa ila sisi watetezi wa Mungu tunaamini kuandika kwa herufi kubwa ndio sahihi.Kwnn watetez wa mungu huwa mnalalamika huwa inachange maana au
Sidhani kama shule wewe umeenda kufuta ujinga au kujaza ujingaUkitamka je what if nikaweka m ndg maana itachange?
Ukitamka je what if nikaweka m ndg maana itachange?
Sidhani kama shule wewe umeenda kufuta ujinga au kujaza ujinga
Unatoa mifano isiyo eleweka hivi kuna mwalimu alishawahi kukwambia kua kuna kuongea kwa herufi kubwa au ndogo
Wewe ni mbishi tu ila huna uwezo wa kufikiri
Inafikia mpaka hujui kutofautisha kati ya kuongea na kuandika
Swali sasa kwako unapo ongea unajua unatumia herufi gani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maana haichange but ni kinyume na kanuni za uandishi.Ukitamka je what if nikaweka m ndg maana itachange?
Tena lingemkuta sehemu ambayo asingeweza kuhema tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawez kukupa jibu linaloeleweka yan hapo ndio atakuvuruga nahis kama angekuwa mbele yako ameshakula kof
Nyie ndio mlikua mnakaa back benchers shule mnasinzia na kupiga story tu wakat wenzenu wanakula madini ..... la sivyo usingehoji huu utopolo wakoKumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye