Hivi Mungu alisema ukitaka kuandika jina lake uanze na herufi kubwa?

Hivi Mungu alisema ukitaka kuandika jina lake uanze na herufi kubwa?

Hata jina lako ukiandika kwa herufi ndogo utakosolewa sana japo wewe mwenyewe hujasema jina lako liandikwe kwa kuanza na herufi kubwa. Ni kanuni ya lugha kwenye kipengele cha Sarufi.
 
Kumekucha wana Jf,

Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
Hata jina la mtu, ni lazima uanze kwa herufi kubwa. Sijui kama Mungu alisema.
 
Eeewe punguani nilini umesha wahi andika jina lako wewe mwenyewe ukaanza na herufi ndogo!!?
 
Tena lingemkuta sehemu ambayo asingeweza kuhema tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila huyu jamaa sidhani kama yuko sirias
Ila ndio hivyo huenda tunajadiliana na mtu kumbe yeye ni comedian ingawa anapitiliza

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hamna hata kama ni comedian hapana huyu amezidi
Maana kwenye ukomedian ukizid nao ni uchiz lazima wana comedian wakuchunguze
 
Huo ni utaratibu wa lugha ya maandishi. Nomino zote huandikwa kwa kuanza na herufi kubwa mfano jina lako
Neno baba pia ni nomino. Je,ni lazima lianze na herufi kubwa popote?
 
Kumekucha wana Jf,

Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
hakuna kitabu cha dini ambacho kilikuja na jina mungu ndanimo,hili neno mungu walikuwa wakilitumia watu komolo.huko kwenye mitambiko yao baadae likaingizwa kwenye dini
 
Walitaka kutofautisha kati ya Mungu huyo tunayemsadiki ametuumba na miungu wengine ... mfano mungu wa jua, mungu wa maji etc
hili neno mungu chimbo lake huko kwa kabila la waswahili komolo kabla ya kuja dini walilitumia kuitia mizimu yao
 
Mungu ni mkuu huwezi kumuandika kwa herufi ndogo, huko ni kukosa adabu na heshima kwa muumba mwenyezi MUNGU aliyeumba mbingu na dunia ni BWANA wa majeshi
hili neno mungu kabla ya kuja dini lilikuwepo
 
Nakubaliana na wewe hata jina Shetani nalo unatakiwa uanze kwa herufi kubwa
uongo huo neno shetani sio neno la kibantu hayo mahaliti ya uandikaji niyako wenye hilo neno hawana mashariti hayo
 
Back
Top Bottom