Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
Wewe mbona lako linaanza na herufi kubwaKumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye