Wewe mbona lako linaanza na herufi kubwaKumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
Ni kumkosea Mungu heshima ,maana maandiko yanasema twendeni mbele za bwana kwa unyenyekevu tayari hiyo ni sheria tuliite jina lake kwa unyenyekevu thabiti, mbona rais wako humuiti rais unamuita Raisna adabu tele na salute juu iweje huwe na wivu kwa MunguHuwa nawashangaa sana hao watetezi wa mungu, kifupi ni hoja ya kijinga sana. Herufi iwe kubwa au ndogo wala haibadilishi chochote.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ni utaratibu katika mfumo wa maandishi tunaoutumia "roman or latin scripts" kwanza unatakiwa ujue ushawishi au mchango mkubwa uliotolewa na kanisa la Roma juu ya kusambaa kwa huu mfumo wa maandishi unayotumiaKumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
Ni watu wa aina yako watakuunga mkonoHuwa nawashangaa sana hao watetezi wa mungu, kifupi ni hoja ya kijinga sana. Herufi iwe kubwa au ndogo wala haibadilishi chochote.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Vijana mbona mnakuwa wakengeufu hivi? Kuna sababu gani hata ya kuanza kuwazia tu namna ya kundika neno Mungu?Huwa nawashangaa sana hao watetezi wa mungu, kifupi ni hoja ya kijinga sana. Herufi iwe kubwa au ndogo wala haibadilishi chochote.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Shetani yuko kazini. Ukengeufu unazidi sasa. Kuna sababu gani ya kujiuliza suala kama hilo. Unataka nini hasa. Kama standard procedure ni kuandika majina ya watu kwa kuanza na herufi kubwa, iweje uhoji juu ya jina Mungu? Halafu vijana wakengeufu kama wewe wanalike ulichoandika. Taabu kwelikweli. Moderators na ninyi hamna kazi kabisa. Futenu threads kama hizi.Kumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
Elimu za shule za kata!Huwa nawashangaa sana hao watetezi wa mungu, kifupi ni hoja ya kijinga sana. Herufi iwe kubwa au ndogo wala haibadilishi chochote.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Jina lako limeanza na herufi gani?Kumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
Mungu×Kumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
Jina lako huwa unaandikaje ,kwenye documents zako?Kumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
lavit vs LavitHuwa nawashangaa sana hao watetezi wa mungu, kifupi ni hoja ya kijinga sana. Herufi iwe kubwa au ndogo wala haibadilishi chochote.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Wewe ulisomea wapi kiswahili?Kumekucha wana Jf,