lete jina lamungu lililo kuja na biblia hili jina mungu la kabila ya waswahiliKikanuni hasa inatakiwa Jina lake liandikwe kwa herufi kubwa tupu.
Kama hapa.
Kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO: akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli: MIMI NIKO amenituma kwenu.
Instagram yale sio majina bali ni profile reference ili kurahisisha namna ya kushare page au profile lako kama unavyoona katika Twitter. Zaidi ya hapo jifunze kuhusu common noun na proper noun.Hapa tunaongelea codes za uandishi na siyo mifumo ambayo ni created.
kuna jamii hazina herufi kubwa wala ndogoMungu ni mkuu huwezi kumuandika kwa herufi ndogo, huko ni kukosa adabu na heshima kwa muumba mwenyezi MUNGU aliyeumba mbingu na dunia ni BWANA wa majeshi
Kwa ambao hamlifahamu hili basi lizingatieni, ni muhimuHuo ni utaratibu wa lugha ya maandishi. Nomino zote huandikwa kwa kuanza na herufi kubwa mfano jina lako
Kwani ukiandika kwa herufi kubwa unapata homa? Kama unadhurika andika tu kwa herefi ndogo.Kumekucha wana Jf,
Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye