Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

Hahahahaaaaa daah dunia hii
 
Hivi mnajua hii thread Mungu anaisoma na kaka Shetani nae anaisoma

yani tunazidi jitengenezea mazingira Magumu,hivi mnafkiri kaka shetani

akiona tunamdskas diskas anajiskiaje,tuache kuwasema ma braza zetu asee,shauri lenu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] HUU UZI NI KISANGA
SENSA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna kitu Cha maana umeelezea hapa. Unampa mtihani mtu ambae mtokeo yake tayari unayajua si upuuzi huo
 
Sasa mtume tuna mpata wapi tumuulize?
 
Mfia dini kuwa mzinifu ni kitendo Cha kibinadamu na ibilisi hahusiki
Pia ibilisi yupo kwenye eneo tengwa hakuna yoyote anaekutana nae,,,majini na viumbe wenzao walio takataka ni binadamu TU huwakaribisha kwenye mazingira Yao lakini hawana interaction yoyote na wanadamu,,ibilisi kutupwa chini ni kwenda chini zaidi ya binadamu na ajione yeye ni weak maana alitaka kuwa juu sana ila Mungu akamshusha chini sana ili ajione yeye sio chochote Wala lolote,,pia alichonacho alipewa sio kwamba ana chochote,,,ibilisi ni dhaifu kumshinda unavyodhani maana hayuko kwenye nafasi yake anambwela mbwela TU,,silaha kubwa alio nayo kwa Sasa ni fitna majungu na uchonganishi
 
Kama Ibilisi aliweza kupigana vita kuu mbinguni akiwa na malaika wake sasa binadamu ataweza kweli kupambana na kiumbe kama hiki?

Katika maeneo ambayo hua yananichanganya kwenye bible ni hii habari ya vita iliyopiganwa mbinguni kati ya Mungu na malaika zake, na shetani na malaika zake.

1. Shetani aliweza vipi kuwashawishi theluthi moja ya malaika wamuunge mkono?
2. Wakati shetani anafanya kampeni hiyo ya ushawishi, Mungu alikua wapi?
3. Mungu, malaika na shetani wote hawa ni roho. Roho zinapiganaje?
4. Ni silaha za aina gani zilitumika kwenye hii vita?
5. Ili ushinde vita, lazima uwaue maadui. Je, katika vita hii ushindi ulipatikana vipi wakati malaika hawafi wala hawaumii.

Ntashukuru kwa yoyote atakaeweza kunipa japo mwanga kidogo.
 
Na kama roho haifi, je, malaika pamoja na wadhambi wengine wanaanzaje kuchomwa moto, alafu wenyewe wametulia tu, wanakuangalia unavyowachoma?,
Kama roho haiwezi kufa au kuuliwa basi hatutakiwi kusema hakuna kitu kisichomshinda Mungu. Kwasababu Mungu Hana uwezo wa kuiua au kuiangamiza roho
 
Hiyo ni moja ya story ya uzushi ndani ya biblia!! Iblis ni Jini na ameumbwa kwa moto ,wala sio malaika. Iblis hana uwezo wowote wa kuwashawishi malaika wamuasi Mungu maana Malaika hawajaumbwa kwa ajili ya kuasi,infact hawajui kutenda dhambi.Wameumbwa kwa ajili ya kutii tu ,kuna malaika toka waumbwe wamepewa jukumu la kusujudu tu na wako hivyo hivyo mpk ulimwengu unaisha,kuna malaika wamepewa kazi ya kuandika mema na maovu ya mwanadamu, wao maisha yao wanaifanya kazi hiyo tu na pindi mwanadamu anapotamatika basi hurudi zao mbinguni. Hawajui kuasi.

Ila iblis ni muasi na katika mapambano, Majini ni dhaifu sana mbele ya Malaika, infact majini wanawaogopa malaika.

Malaika ana uwezo wa kumpiga jini na kumuumiza ila Jini hana uwezo wa kumdhuru malaika kwa chochote kile.

Kwahiyo suala kuwa kulikuwa na vita mbinguni kati ya iblis ,malaika na Mungu ni uongo kabisa na ni uzushi mkubwa.
 
As per Quran
 
Wengine tunafurahia kusoma comments tu, inaonekana watu hawamjui Mungu wala shetani, basi kila mmoja anasema sumu tu. Ngoja tuone hitimisho lake.
 
ili kuwepo na balance kitu kisizidie upande mmoja lazima kuwe na vitu viwili vyenye uwiano sawa ili kubalance mzigo katikati , uwepo wa nguvu hizo mbili huleta maana halisi ya maisha yalio katika kiwango sawia , ili uujue uzuri lazima ubaya uwepo kila kimoja kina umuhimu kutegemeana na mwenzake.
 
Tusome maandiko ya Mungu muumba wetu kila kitu kiko wazi tusome iwe maandiko ya Mungu ndani ya Bibilia ndani ya quran na kwingineko kila kitu kiko wazi, Hivi Kwanza watambua ya kuwa sisi Mtu hatufi ni wamilele isipo kuwa kuendelea kuwepo milele ni masahihisho ya ufaulu wako mtihani wako kwa hapa Duniani?
 
Hatukuomba msamaha. Tulilaumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…