Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

Kwa mujibu wa Biblia, Ni shetani ndiye aliyemshawishi Adam ila hakuwa na mamlaka wala umiliki wa dunia na vijazavyo. Shetani alipata baada ya anguko la Adam hata hivyo hana umiliki wala maamuzi kwa wachaMungu

Ni wapi tunaweza kusoma kuwa shetani alimshawishi Adamu?
 
Inawezekana ni hadithi. Lakini ikishaingia imani, hadithi inakua suala la kiimani ambalo huwezi kulitenga na anayeamini kwa kutumia logic. Imani ina nguvu ya kuamsha mapepo ndani ya mtu akawa kama kichaa akagaragara chini, ila ukirudi katika logic huyu mtu utamuona ana tatizo la saikolojia.

Utofauti wangu mm na wewe ni katika kutumia logic kwenye suala la imani. Hakuna lingine. Huyo kijana imani yake ilimuua, na wapo wengi kama yeye. Kuna mwingine alifia kwenye maji akitaka kutembea juu ya maji.
Sasa, kama imani inaweza kukufanya ujione unaweza kutembea juu ya maji ukafa, au ikakufanya ujione unaweza kuruka kutoka ghorofani kwenda kwenye Simtank usife, lakini ukafa, hapo tunaona imani si kigezo kizuri cha kufikia ukweli.

Unaweza kuamini kitu ni kweli, halafu imani yako isifanye kitu kile kuwa kweli.

Kwa nini tunapenda kuendekeza imani, badala ya uchambuzi wa kimantiki wenye mashiko zaidi ya imani tu?
 
Naam.

Kwa sababu hata umeme una positive na negative charge.

Kwa hivyo positive ya umeme ni Mungu?

Watu wanapoomba kwa Mungu wanaomba positive energy ya umeme?

Wakuu wa TANESCO wanapoamua kukata umeme wana control flow ya Mungu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] maswali ya mashanbulizi[emoji16][emoji16]
 
Mkuu mambo mengine yanasikitisha sana.

Unamuumbaje binadamu kisha unampa na mitihani?

Kwani Mungu asingetupa mitihani yeye angepungukiwa na nini?

Kwanini atupe mitihani anayojua kabisa hatuwezi kuifaulu?

Huruma ya Mungu ipo wapi ikiwa kila kukicha anakujazia mitihani ambayo huwezi kuifailu?

Yeye alishindwaje kumuacha Ibilisi mbinguni apambane naye mpaka akaamua kumtupia duniani?

Hapa tumeonewa sana.
Hakuna Cha mtiani Wala nini,
Kujichanganya ndio tumekalia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] maswali ya mashanbulizi[emoji16][emoji16]
Hawa watu wanaoleta maneno ambayo hayana definition inabidi tuwakabe kama wezi wa Tandale.

"Positive Energy" maana yake nini?

Nikimchamba vibaya sana malaya mchafu anayeeneza UKIMWI, kwa maneno ya ukweli, akawa njia panda ya kuweza kujiua kwa aibu au kupata elimu na kuachana na umalaya akafanya kazi nzuri isiyoeneza UKIMWI hiyo ni positive energy kwa sababu inaweza kumsaidia aache kueneza UKIMWI au ni negative energy kwa sababu nimempa ukweli bila kituo na anaweza kujiua kwa maneno yangu?

Unapimaje hapo?
 
Mungu wetu ni MUNGU mwenye Rehema na Huruma kwa viumbe wake.... tujiuulize Kwa maovu tunayoyafanya leo kama ZINAA, MAUAJI, HOMOSEXUALITY, ULEVI, DHULMA didi ya wanyonge na MACHAFU MENGINE YOTE, ZAKA HATUTOI Angekuwa ni MUNGU ASIYE NA HURUMA angeshatuangamiza Lakini KWA HURUMA YAKE AMEENDELEA KUTUPA MUDA HUENDA TUTATUBIA.. ambaye atabaki na nyendo zake mbaya mpaka mwisho wa MAISHA YAKE BASI ITAKUWA NI HASARA KWAKE...

Naomba kuwasilisha wanajamvi wenzangu..
Hiyo dhana kuwa Mungu asingekuwa na huruma angeshatuangamiza umeijenga kwa misingi ipi?

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Mungu amekuwa akiangamiza kila wakati inapotokea uasi wa binadamu umeshamiri, alifanya hivyo enzi za gharika kuu na enzi za moto wa Sodoma.

Kama tunaweza kujua interval ya maangamizi hayo makuu mawili ni miaka mingapi, na miaka mingapi imepita tangu angamizo la mwisho hadi leo….. basi tunaweza kubashiri ikiwa huruma yake mpya ni ya kweli au pengine uasi haujazidi kipimo chake au kama bado anatuvutia kasi tu.
 
Sasa, kama imani inaweza kukufanya ujione unaweza kutembea juu ya maji ukafa, au ikakufanya ujione unaweza kuruka kutoka ghorofani kwenda kwenye Simtank usife, lakini ukafa, hapo tunaona imani si kigezo kizuri cha kufikia ukweli.

Unaweza kuamini kitu ni kweli, halafu imani yako isifanye kitu kile kuwa kweli.

Kwa nini tunapenda kuendekeza imani, badala ya uchambuzi wa kimantiki wenye mashiko zaidi ya imani tu?
Suala la imani ni suala binafsi. Huwezi kulitenganisha na binadamu kwa sasa. Labda sayansi ije na majibu ambayo yamesababisha imani ikawepo. Kinyume na hapo ni kuheshimu tu imani za watu ilimradi ipo ndani ya sheria za nchi. Hao wanaokufa kwa kujirusha ghorofani na wengine kufia majini kwa jina la imani walivunja sheria za nchi ni vile hawakukamatwa kabla hawajafa.

Suala la kuwa makini nalo ni kutumia logic kuuliza maswali ya kiimani na ukataka majibu ya logic kutoka kwa mwamini. Hapo tu ndipo ambapo huwa sikuelewi.

Yaani unataka mtoto anayeamini kuwa baba yake ndo mwenye nguvu kuliko wababa wote atumie logic na kuachana na imani yake huku ukitegemea yeye achukue hayo maamuzi baada ya kushindwa kuthibitishia kuwa baba yake ana hizo nguvu.

Ukitaka kidogo akuelewe logic yako Mchukue baba yake, mtandike viboko mbele yake halafu mwambie unaona, baba yako hana nguvu kuliko wababa wote na sio kutaka yeye ashindwe kukuthibitishia halafu ahitimishe kuwa baba yake hana nguvu.
 
Hawa watu wanaoleta maneno ambayo hayana definition inabidi tuwakabe kama wezi wa Tandale.

"Positive Energy" maana yake nini?

Nikimchamba vibaya sana malaya mchafu anayeeneza UKIMWI, kwa maneno ya ukweli, akawa njia panda ya kuweza kujiia kwa aibu au kupata elimu na kuachana na umalaya akafanya kazi nzuri isiyoeneza UKIMWI hiyo ni positive energy kwa sababu inaweza kumsaidia aache kueneza UKIMWI au ni negative energy kwa sababu nimempa ukweli bila kituo na anaweza kujiua kwa maneno yangu?

Unapimaje hapo?
Hiyo ni positive Energy but at the sametime ni Negative Energy
Hiyo dhana kuwa Mungu asingekuwa na huruma angeshatuangamiza umeijenga kwa misingi ipi?

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Mungu amekuwa akiangamiza kila wakati inapotokea uasi wa binadamu umeshamiri, alifanya hivyo enzi za gharika kuu na enzi za moto wa Sodoma.

Kama tunaweza kujua interval ya maangamizi hayo makuu mawili ni miaka mingapi, na miaka mingapi imepita tangu angamizo la mwisho hadi leo….. basi tunaweza kubashiri ikiwa huruma yake mpya ni endelevu au pengine uasi haujazidi kipimo au kama bado anatuvutia kasi tu.
Huruma ya Mungu iko wapi ikiwa kamuacha Ibilisi atawale?
 
Thibitisha kwanza kwamba IBILISI yupo [emoji23] nipuuzwe natania tu
Ibilisi na Mungu ni mambo ya imani. Imani ni hakika ya mambo yasiyoonekana. Sasa kutaka mtu athibitishe mambo yasiyoonekana sidhani kama ni sahihi na kama akiweza basi hiyo siyo imani tena
 
Hawa watu wanaoleta maneno ambayo hayana definition inabidi tuwakabe kama wezi wa Tandale.

"Positive Energy" maana yake nini?

Nikimchamba vibaya sana malaya mchafu anayeeneza UKIMWI, kwa maneno ya ukweli, akawa njia panda ya kuweza kujiia kwa aibu au kupata elimu na kuachana na umalaya akafanya kazi nzuri isiyoeneza UKIMWI hiyo ni positive energy kwa sababu inaweza kumsaidia aache kueneza UKIMWI au ni negative energy kwa sababu nimempa ukweli bila kituo na anaweza kujiua kwa maneno yangu?

Unapimaje hapo?
Umenipa mtihani mkubwa[emoji16]

Uyo bwana ndio angejibu hili swali
Kutokana na uelewa wake Wama energy [emoji16][emoji16]
Mimi naona umetumia zote na zimetusaidia
 
Hizo habari za Mungu na Ibilisi kuwepo ni hadithi za kutunga za watu tu.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyethibitisha uwapo wa Mungu wala Ibilisi.

Ndiyo maana maelezo ya kuwapo Mungu yana contradictions nyingi sana ambazo hazijatatuliwa mpaka leo.
Huwezi thibitisha mambo ya iman kwani imani ni hakika ya mambo yasiyoonekana. Kama ukiweza kuthibitisha basi siyo imani tena bali ni kujua. Sentesnsi sahihi ni kuamini Ibilisi /Mungu yupo na siyo kujua ibilisi /Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom