Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Haikutoka popote pale.Energy haiwezi kutengenezwa au kuharibiwa sawa. Lakini energy yenyewe ilitoka wapi ? Au Jua lilitokea kutoka wapi ?
Umejuaje?Ata nikikujibu ilo swali lako kwa mujibu wa dini yngu bado utaendeleza ligi kwa sababu wewe huna imani na dini yangu.
MUNGU ni suala la kiimani. Najua kuna mambo ya MUNGU sababu nimechagua kuamini hivyo.Kama ni mambo ya kibinadamu, wewe ulijuaje na unathibitishaje kuna mambo ya Mungu?
Mawazo yakiwa yangu hayafosiwi kuwa yako. Umezungumza uongo.Huoni kwamba unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na mantiki wala uthibitisho wowote ule?
Uumbaji.Ukuu wa Mungu ni nini?
Pia sioni tatizo ukiyatambua maisha kwa mfumo huu. Nina rafiki anayeamini kuwa ukijumlisha kila kitu ulimwenguni ukakiweka kwenye umbo moja huyo ndiye MUNGU. Kwamba kila ukiaonacho ni sehemu ya MUNGU ukiwemo wewe.Kwa nini sio ukuu wa ulimwengu?
Kwanini?Hakuna uhusiano wa huyo Mungu na ulimwengu.
Mambo nisiyoyaelewa wewe umeyaelewa bila hiyo dhana? Maana watu msio amini kuhusu MUNGU huwa mna theory ya kijinga kweli, mnajua tunaoamini MUNGU tunaamini sababu kuna maswali hatuna majibu yake, nyinyi mnakuja bila majibu huku mkitaka tufanane na nyinyi. Mbadala wa imani ya MUNGU ni nini?Huyo Mungu ni dhana uchwara tu kuhalalisha mambo usiyo yaelewa.
Umetaka tumjadili MUNGU, tunamjadili, kufosi inatoka wapi?Hata wewe unavyo fosi huyo Mungu awe ndio muumbaji wa ulimwengu ni Chaos...
Ulazima upo, ulimwengu una mauti tusiyojua ni nini, ulimwengu hatujui imekuaje ukawepo. Haya mambo ndo yanatufanya tuamini yupo MUNGU chanzo cha yote aijuaye siri ya mauti. Hutaki tuamini hilo njoo na mbadala.Hakuna ulazima wa uhusiano wa huyo Mungu na ulimwengu.
Tumia lugha ya picha na kuongea kwa tafsida, mti wa katikati ni ule mti na tunda ni lile tunda la kumegwa, kula tunda ndio kumegwa.Bwn Pasco nimekuelewa ila kuna sehemu unatuacha. Hv hapo kwenye kumega tunda unamaanisha Adamu alimpiga miti Eva!?
Kama hivyo ndivyo basi ina maana Eva alianza kupigwa miti na nyoka
Daah dini ngumu wacha nikale zangu beer
We unaijua dhambi ya asili ni nini?Hizi hekaya ulizo andika hapa ni sawa na Hekaya za Abunuwasi au Aladini.
Wewe umejuaje kama hakuna wakati wowote ule ambapo energy haikuwepo hali umezaliwa juzi tu hapa ?Haikutoka popote pale.
Hakuna wakati wowote ule ambapo energy haikuwepo kisha ikawepo from nothing.
Energy ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na sehemu kilipo toka, Basi hata hizo sehemu zilipotoka zitahitaji sehemu zingine zilipotoka.
Yani pasiwepo sehemu yeyote ile iliyo exist yenyewe tu pasipo kutoka sehemu fulani.
Yani kutakuwa na sehemu nyingi zisizo na mwisho, endless.
MhhhHaiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote?
Hata wachungaji/mapadre wenyewe hawataki shetani aangamizwe mana watakosa cha kutuhubiri ili kupiga hela. Kwa maana nyingine shetani kawapa ulaji wachungaji. Siku akitoweka tu mapdre/ maskofu / wachungaji watakufa njaa maana watakosa cha kutudanganya.
Hukatazwi kuwa na imani za huyo Mungu, ila Ukianza kudai imani zako zina ukweli lazima uthibitishe hilo.MUNGU ni suala la kiimani. Najua kuna mambo ya MUNGU sababu nimechagua kuamini hivyo.
Mawazo yakiwa yangu hayafosiwi kuwa yako. Umezungumza uongo.
Uumbaji.
Pia sioni tatizo ukiyatambua maisha kwa mfumo huu. Nina rafiki anayeamini kuwa ukijumlisha kila kitu ulimwenguni ukakiweka kwenye umbo moja huyo ndiye MUNGU. Kwamba kila ukiaonacho ni sehemu ya MUNGU ukiwemo wewe.
Kwanini?
Mambo nisiyoyaelewa wewe umeyaelewa bila hiyo dhana? Maana watu msio amini kuhusu MUNGU huwa mna theory ya kijinga kweli, mnajua tunaoamini MUNGU tunaamini sababu kuna maswali hatuna majibu yake, nyinyi mnakuja bila majibu huku mkitaka tufanane na nyinyi. Mbadala wa imani ya MUNGU ni nini?
Umetaka tumjadili MUNGU, tunamjadili, kufosi inatoka wapi?
Chaos ni plan yako ya kutokufa uishi kwa raha au uzaliwe newyork ndo uthibitishe ukuu wa MUNGU.
Ulazima upo, ulimwengu una mauti tusiyojua ni nini, ulimwengu hatujui imekuaje ukawepo. Haya mambo ndo yanatufanya tuamini yupo MUNGU chanzo cha yote aijuaye siri ya mauti. Hutaki tuamini hilo njoo na mbadala.
Hakuna uthibitisho wowote ule uliothibitisha kwamba energy haikuwepo kisha ikawepo.Wewe umejuaje kama hakuna wakati wowote ule ambapo energy haikuwepo hali umezaliwa juzi tu hapa ?
Dhambi Haipo.We unaijua dhambi ya asili ni nini?
Mithali ya wapi tena. Hivi unajua biblia siyo kitabu cha Mungu. Ni ujanja wa akina paulo tu kihadaa ulimwrngu. Wapi. Mungu alisema biblia ni maneno yake saidi ya kuandikwa na kutungwa na watu Yesu mwenyewe haitambui biblia na hajasema popote muisome. Nioneshe ni wapi yesu alisema msome biblia
Zabari kutoka wapi? Nani kakwambia biblia ni mameno ya mungu?Zaburi 14:1a
"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu"
BORA kua mjinga kulikua kua mpumbavu , upumbavu ni hali HATARI sana NDANI ya MTU
Ujinga ni kukosa taarifa SAHIHI, Kwaiyo ni rahisi Sana kumuelimisha mjinga lakini mpumbavu ni MUNGU mwenyewe ndie awezae KUMBADILISHA
Nimekuelewa Pasco. ShukranTumia lugha ya picha na kuongea kwa tafsida, mti wa katikati ni ule mti na tunda ni lile tunda la kumegwa, kula tunda ndio kumegwa.
Shetani baada ya kuingia bustanini kama nyoka, akajigeuza mtu, akamfundisha Eva jinsi ya kumega tunda, akamega.
Mtoto wa kwanza wa Adam, Caini alizaliwa na roho ya biological Father wake, ndio maana alimuua Abel.
Bikira Maria pekee ndie alikingiwa dhambi ya asili kwa kupata mim.a kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bila Tunda kumegwa!.
P
Mungu na Shetani ni wahusika katika hadithi ya kutungwa na watu.Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote?
Hata wachungaji/mapadre wenyewe hawataki shetani aangamizwe mana watakosa cha kutuhubiri ili kupiga hela. Kwa maana nyingine shetani kawapa ulaji wachungaji. Siku akitoweka tu mapdre/ maskofu / wachungaji watakufa njaa maana watakosa cha kutudanganya.
Mungu anataka umwamini kwanza ndio atendeHaiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote?
Hata wachungaji/mapadre wenyewe hawataki shetani aangamizwe mana watakosa cha kutuhubiri ili kupiga hela. Kwa maana nyingine shetani kawapa ulaji wachungaji. Siku akitoweka tu mapdre/ maskofu / wachungaji watakufa njaa maana watakosa cha kutudanganya.
Wewe una akili sawasawa lakini? Basi sasa kama huamini kuna neno la Mungu, ni wapi unapata wazo la uwepo wao hadi kuona kwamba wanaweza kushindana hadi mmoja kushindwa au kushinda, bangi unazovuta zimekupa hilo wazo?Mithali ya wapi tena. Hivi unajua biblia siyo kitabu cha Mungu. Ni ujanja wa akina paulo tu kihadaa ulimwrngu. Wapi. Mungu alisema biblia ni maneno yake saidi ya kuandikwa na kutungwa na watu Yesu mwenyewe haitambui biblia na hajasema popote muisome. Nioneshe ni wapi yesu alisema msome biblia
Neno nitalipata kwa Mungu siyo maneno ya paulo na wenzakeWewe una akili sawasawa lakini? Basi sasa kama huamini kuna neno la Mungu, ni wapi unapata wazo la uwepo wao hadi kuona kwamba wanaweza kushindana hadi mmoja kushindwa au kushinda, bangi unazovuta zimekupa hilo wazo?
Mpigie simu basi muongee. Na unajuaje kuna Mungu? Nani kakuambia kama huwaamini kina Paulo, kina Musa nk?Neno nitalipata kwa Mungu siyo maneno ya paulo na wenzake