Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #21
Kwanini mkuu?🤔🤔🤔 kichwa knauma balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu?🤔🤔🤔 kichwa knauma balaa
Tangu lini jinni akawa malaika!?..hiyo ni sawa na kudai mbuzi hubadilika kuwa pundaSi ndo hayo majini yenu mnayoyafuga baadaye yanabadilika na kuwa popobawa nakuanza kuwafumuamarynder
Tangu lini jinni akawa malaika!?..hiyo ni sawa na kudai mbuzi hubadilika kuwa punda
Yani nyie wote mnabishania vitu msivovijua, ila mnasikia story na kusoma vitabu.Si ndo hayo majini yenu mnayoyafuga baadaye yanabadilika na kuwa popobawa nakuanza kuwafumuamarynder
Ila ukisoma vizuri Ayubu 1 na Ayubu 2 ni kama vile Mungu alikuwa anamuamini sana Shetani kama mmoja wa watumishi wake..Unbreakable chain..like umbilical chord
why?Business as usual
Hiv huwa mnaamini hizi stori za kipumbavuIla kipindi kile cha Japheth n, shedrack na Abednego walipotupwa kwenye tanuru ya moto yule malaika wa nne aliteonekana alikuwa mwamba mwenyewe Yesu.
Unaambiwa Gabriel alitumwa Kwanza kwenda kuwaokoa shetani akamzuia njiani Kwa kumshushia kibano kikali hakarudi mbinguni hoi akamuambia Mungu ngoma kali.
Mwamba mikaeli Yesu mwenyewe aksema tu thisbulsh akaamua kushuka. Unaambiwa nusu sekunde tu alishafika kwa akina shedrack huku akimtembezea shetani na malaika zake mkong'oto wa haja na wa aina yake.
Ukisoma Ayubu 2:3 unagundua kwamba shetani alikuwa na uwezo wa kumdanganya mpaka Mungu mwenyewe..Ila shetani bana mjanja mjanja sana. Yani alimpiga saundi Hawa hadi akamgonga.
Kwanini mkuu?.. toa maelezo kupigwa kivipHapa tumepigwa kabisa
Ila ukisoma sana biblia between the lines... unaona kwamba Shetani kiumbe chenye uwezo mkubwa sana...Ila kipindi kile cha Japheth n, shedrack na Abednego walipotupwa kwenye tanuru ya moto yule malaika wa nne aliteonekana alikuwa mwamba mwenyewe Yesu.
Unaambiwa Gabriel alitumwa Kwanza kwenda kuwaokoa shetani akamzuia njiani Kwa kumshushia kibano kikali hakarudi mbinguni hoi akamuambia Mungu ngoma kali.
Mwamba mikaeli Yesu mwenyewe aksema tu thisbulsh akaamua kushuka. Unaambiwa nusu sekunde tu alishafika kwa akina shedrack huku akimtembezea shetani na malaika zake mkong'oto wa haja na wa aina yake.
Yani unaambiwa Mwamba Yesu alivyokuwa anashuka kuwaokoa akina shedrack njiani alikuwa anatembeza mkong'oto wa haja na wa aina yake. Shetani alitimua vumbi shetani ni muoga sana ukimjulia. Ndo maana ukiwa na Yesu ana keep a very big distance anajua vizuri moto wakeHiv huwa mnaamini hizi stori za kipumbavu
Ila lakini mbona hata ukisoma hichi kitabu cha Ayubu inaonesha Shetani alikuwa ni kiumbe mnafiki, mwingo na mfitinishaji?Amna walizinguana pale alipomnyima yesu mikate mlimani.
Sagodi alisusa...shetty akasema isiwe kesi mi ntamsulubu yesu.
Yesu msalabani nae akatemwa na mshua wake.
Huyu mshua anasusa sana.
Kwahyo mungu nayeye anachochewa? Inamaana kuna vitu mungu hajui mpaka aletewe taarifa?Ila lakini mbona hata ukisoma hichi kitabu cha Ayubu inaonesha Shetani alikuwa ni kiumbe mnafiki, mwingo na mfitinishaji?
Ayubu 2:3
[3]BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
Namaanisha imekaa ki friendly sana.. hata kama hawachat kila siku ila mbona kama huwa wanawasiliana?Hahahah communication pattern Ina walakini Kama hua wanachati kila siku
Bwana alimuuliza shetani umetoka wapi??? Inamaana si mjuzi wa yote???Ukisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9
Ayubu 1: 7-9
[7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
[8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.
[9]Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha BWANA bure?
Mimi napenda kufikiria nje ya boksi.. ukiangalia hii communication pattern kati ya Shetani na Mungu, mbona ipo ki friendly sana?
Yaani ni kama pande mbili ambazo zinaelewana sana tu na huwa zinawasiliana kila siku..
Kwa hiyo communication pattern, hivi kweli Mungu na Shetani wana bifu kali kiasi hicho? au wana same mission ya kumfanya mwanadamu azidi kuwa mtii kwa Mungu?
Shetani mpaka kesho ana wivu wa kutaka kurudi mbinguni akachukue cheo chake ndio maana vita yake kubwa ni kwa wale wanaomtii Mungu na kuziishi amri zakeIla ukisoma vizuri Ayubu 1 na Ayubu 2 ni kama vile Mungu alikuwa anamuamini sana Shetani kama mmoja wa watumishi wake..
Ila upande wa pili nimegundua shetani alikuwa ni kama mtu mwenye fitna, wivu, na uwongo.
Kwa sababu pale sura ya pili kuna sehemu Mungu alisema
Ayubu 2:3
[3]BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
Ndo biblia ilivoandika hivo mkuu sio maneno yanguKwahyo mungu nayeye anachochewa? Inamaana kuna vitu mungu hajui mpaka aletewe taarifa?
I guess soBwana alimuuliza shetani umetoka wapi??? Inamaana si mjuzi wa yote???
Wanatheolojia na wakufunzi wanadai endapo Yesu angeingia mkenge na kufanya mistake na kubadilisha yale mawe kuwa mkate alipojaribiwa na shetani basi binadamu tusingekombolewa tungepotea mazima. Mwamba kusema kweli ule mtihani alijitahidi sana.Shetani mpaka kesho ana wivu wa kutaka kurudi mbinguni akachukue cheo chake ndio maana vita yake kubwa ni kwa wale wanaomtii Mungu na kuziishi amri zake
Vipi umemaliza kucheza na majini hapo masjid?Shetani anakuaje na malaika!!?..shigongo mwandishi mzuri kuliko waandishi wa bible