Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori za kutunga lazima ziwe na mambo mengi ya kujichanganya na kutoeleweka.Ukisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9
Ayubu 1: 7-9
[7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
[8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.
[9]Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha BWANA bure?
Mimi napenda kufikiria nje ya boksi.. ukiangalia hii communication pattern kati ya Shetani na Mungu, mbona ipo ki friendly sana?
Yaani ni kama pande mbili ambazo zinaelewana sana tu na huwa zinawasiliana kila siku..
Kwa hiyo communication pattern, hivi kweli Mungu na Shetani wana bifu kali kiasi hicho? au wana same mission ya kumfanya mwanadamu azidi kuwa mtii kwa Mungu?
It make sense... kuna ka ukweli kwamba inawezekana shetani aliwavaa baadhi ya watu kushadadia Yesu asulubiweKuna mwanatheolojia flan na mkufunzi anayeheshimika anasema wale waliokuwa wanasema asulubiwe asulubiwe walikuwa malaika wa shetani waliojibadilisha. Yani shetani alidhamiria kabisa tusipate wokovu.
Really humanity should be very very grateful to Jesus. Without him we would have perished forever. But now we have the gift of life and a chance to live forever if we repent and accept Jesus as our Lord and savior.
Jesus first Jesus Forever
Sema tu mkuuHaya mambo haya!
Ngoja niishie hapo kwa sasa.....
Shetty kama Shetty sio 🤣🤣🤣Amna walizinguana pale alipomnyima yesu mikate mlimani.
Sagodi alisusa...shetty akasema isiwe kesi mi ntamsulubu yesu.
Yesu msalabani nae akatemwa na mshua wake.
Huyu mshua anasusa sana.
Exactly, Shetani anasubiri tu hukumu yake kwa sasa ndio maana anazidi kuivuruga dunia kuchochea mambo yasiyo ya kimaadili na mambo mengine mengi mabaya ili siku atajapokuja kuhukumiwa aende na wengiShetani mpaka kesho ana wivu wa kutaka kurudi mbinguni akachukue cheo chake ndio maana vita yake kubwa ni kwa wale wanaomtii Mungu na kuziishi amri zake
Walikuwa ni watu halisi Biblia inawataja ni Wayahudi na viongozi wa Kiroma wakahalalisha kuuawa kwa YesuKuna mwanatheolojia flan na mkufunzi anayeheshimika anasema wale waliokuwa wanasema asulubiwe asulubiwe walikuwa malaika wa shetani waliojibadilisha. Yani shetani alidhamiria kabisa tusipate wokovu.
Really humanity should be very very grateful to Jesus. Without him we would have perished forever. But now we have the gift of life and a chance to live forever if we repent and accept Jesus as our Lord and savior.
Jesus first Jesus Forever
Hapo mwanzo Shetani alikuwa ni malaika mzuri tu aliyeumbwa na Mungu.Ila ukisoma vizuri Ayubu 1 na Ayubu 2 ni kama vile Mungu alikuwa anamuamini sana Shetani kama mmoja wa watumishi wake..
Ila upande wa pili nimegundua shetani alikuwa ni kama mtu mwenye fitna, wivu, na uwongo.
Kwa sababu pale sura ya pili kuna sehemu Mungu alisema
Ayubu 2:3
[3]BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
Walikuwa wakiwasiliana, lakini baada ya Shetani kutupwa kutoka mbinguni kuja duniani kama kitabu cha Ufunuo 12:7-12 kinavyosema Shetani anasubiri hukumu yake ya mwisho hakuna tena mawasilianoUkisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9
Ayubu 1: 7-9
[7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
[8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.
[9]Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha BWANA bure?
Mimi napenda kufikiria nje ya boksi.. ukiangalia hii communication pattern kati ya Shetani na Mungu, mbona ipo ki friendly sana?
Yaani ni kama pande mbili ambazo zinaelewana sana tu na huwa zinawasiliana kila siku..
Kwa hiyo communication pattern, hivi kweli Mungu na Shetani wana bifu kali kiasi hicho? au wana same mission ya kumfanya mwanadamu azidi kuwa mtii kwa Mungu?
Wewe hii hadithi umeitoa wapi?Ila kipindi kile cha Japheth, shedrack na Abednego walipotupwa kwenye tanuru ya moto yule malaika wa nne aliyeonekana alikuwa mwamba mwenyewe Yesu.
Unaambiwa Gabriel alitumwa Kwanza kwenda kuwaokoa shetani akamzuia njiani Kwa kumshushia kibano kikali hakarudi mbinguni hoi akamuambia Mungu ngoma kali.
Mwamba Mikaeli Yesu mwenyewe akasema tu thisbulsh akaamua kushuka. Unaambiwa nusu sekunde tu alishafika kwa akina shedrack huku akimtembezea shetani na malaika zake mkong'oto wa haja na wa aina yake.
Siku zake zinahesabika tu UFUNUO 12:12 inasemaMpaka sasa shetani ashashinda
Ova
Mmm kumbe sijasoma biblia haya suyajui duhHaikuishia hapo baada ya shetani kuteketeza utajiri wote wa Ayubu, shetani na mungu walikutana tena Mungu akamwambia shetani umeona utiifu wa mja wangu, shetani akasema nyoosha mkono kwenye afya yake kama hata kudhihaki, mungu akamwambia nimekupa mamlaka mfanye chochote uwezacho lakini usichukue uhai wake, (sijako andikobneno kwa neno ni massage ninayoikumbuka). Ukiqngalia hapo ni kama mungu na shetani ni watu wa karibu sana,
Ushindi wake ni mdogo sana. Hivi kwa dakika hata moja tu, unajua Mungu au yesu anatajwa mara ngapi? Iwe kwenye shida au raha? Lakini ni rahis kumaliza siku bila kumtaja shetani hata kwa baya moja.Mpaka sasa shetani ashashinda
Ova
Kama mtoa mada alivyoeleeza hapo juu, shetani alipotaka kumfilisi na kumtia magonjwa Ayubu, shetani alienda kwa Mungu kuomba ruhusa na Mungu akatoa ruhusa AKAMWAMBIA amfanyie vitu vyote anavyotaka ila ASIMWUE vivyohivyo kwa wale walio wa Mungu wanaolindwa na nguvu ya MUNGU Shetani ataomba ruhusa pia yakukuweka kwenye majaribu, hivyo inatufundisha haijalishi Nini unapitia mtumainie yeye Kila jaribu Lina mlango wa kutoka kama Ayubu alivyoshinda.why?
Jiulize chadema na ccm mbowe atatoka gerezani lakini anaoga fasta kwenda ikulu ...
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Amna walizinguana pale alipomnyima yesu mikate mlimani.
Sagodi alisusa...shetty akasema isiwe kesi mi ntamsulubu yesu.
Yesu msalabani nae akatemwa na mshua wake.
Huyu mshua anasusa sana.
Kumbe hawa jamaa ni wana, wana vikao vyao kabisa yani.Haikuishia hapo baada ya shetani kuteketeza utajiri wote wa Ayubu, shetani na mungu walikutana tena Mungu akamwambia shetani umeona utiifu wa mja wangu, shetani akasema nyoosha mkono kwenye afya yake kama hata kudhihaki, mungu akamwambia nimekupa mamlaka mfanye chochote uwezacho lakini usichukue uhai wake, (sijako andikobneno kwa neno ni massage ninayoikumbuka). Ukiqngalia hapo ni kama mungu na shetani ni watu wa karibu sana,