Hivi Mungu na Shetani bado wanawasiliana?

Vipi umemaliza kucheza na majini hapo masjid?

Shetani alifukuzwa mbinguni yeye na theluthi ya malaika walioamua kumfuata na ndio hao wanaitwa malaika zake.
Malaika hawezi muasi mungu,majinni kaanza kucheza nayo yesu na Leo makanisani ndiyo yamejaa,wanatoana huko
 
Wanatheolojia na wakufunzi wanadai endapo Yesu angeingia mkenge na kufanya mistake na kubadilisha yale mawe kuwa mkate alipojaribiwa na shetani basi binadamu tusingekombolewa tungepotea mazima. Mwamba kusema kweli ule mtihani alijitahidi sana.
Ni kweli kabisa au kule mlimani alipomwambia.... Nisujudie nami nitakupa mamlaka yote ya ulimwengu
 
Yaani mungu adanganywe na shetani!!..hivi kwenu mungu ni nini!?..
 
Exactly, Shetani anasubiri tu hukumu yake kwa sasa ndio maana anazidi kuivuruga dunia kuchochea mambo yasiyo ya kimaadili na mambo mengine mengi mabaya ili siku atajapokuja kuhukumiwa aende na wengi

Ana hasira kinyama mbwa yule
Ana hasira kinyama mbwa yule[emoji23]
 
Ukaribu wa Mungu na shetani hauna tofauti sana na wa shetani na mwanadamu.. Ni kwamba tu Mungu ana nguvu ya kumkemea shetani.. In fact shetani anamuogopa sana Mungu
 

Wanawasiliana kishingo upande maana kila mmoja anammendea mwenzake,yaani ni kama unavyoona viboko maji kwenye dimbwi ambalo lina mamba
 
Samahani mkuu mleta mada, hivi hilo jina lako "Naantombe" lina maana gani?
 
Dini yako tu huijui unakuja kudandia uislam!!
 
Hii mada ni nzuri sana...ila mmeweka masihara na udini na kashfa ila kwa mkristu ilikua ni mada ya kujifunza kitu cha maana...

Nimesoma vitabu 2 nikaelewa sana biblia
Hv vitabu vimetajwa kwenye biblia ikabidi nivitafute
Ukisoma hv vitabu utaelewa mambo mengi kuhusu shetani,makerubi, YESU,MUNGU Pamoja na maserafi na nguvu zao....

1.soma kitabu cha henoko( book of enoch)
Huyu ni wa saba tokea adam,na ni babu yake nuhu (grand grand father)

2.soma kitabu cha yashari
(Book of Jasher)

Mkisoma hv vitabu,uwe muislam au mkristo mtaacha kukashfiana....maana mtajua MUNGU NI power ya namna gani...

Kama uko serios...nicheki PM Nitakutumia
 
Exactly, Shetani anasubiri tu hukumu yake kwa sasa ndio maana anazidi kuivuruga dunia kuchochea mambo yasiyo ya kimaadili na mambo mengine mengi mabaya ili siku atajapokuja kuhukumiwa aende na wengi

Ana hasira kinyama mbwa yule
 
Asante mkuu ntavisoma kama ulivoshauri
 
Oya mkuu unanivunja mbavu.
 
Swali fikirishi sana sijui ulikuwa unawaza nini mpka kufikia kuandika hivyo
 
Mungu na shetani hawana bifu, shetani ni kiumbe wa Mungu. Bosi ni mmoja tu hapo. Shetani ndio alichagua kukaidi amri ya Mungu akapokea malipo yake, lakini sio kwamba kuna nguvu mbili zinavutana, hapana. Bali sisi wanadamu pia tulichagua kukaidi amri ya Mungu (Adam na Hawa) hivyo kuingia kwenye mamlaka ya shetani. Mungu anatusihi turejee kwake ili tuishi kwa kadiri ya kusudi lake. Shetani hakumwumba mwanadamu hivyo hana mpango wowote wa baadaye kwake zaidi ya kumtakia uangamivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…