Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hata utumwa haukuwepo na vita vya maji maji, ni stori tu !
Ushahidi wa utumwa upo hata wa vita vya majimaji upo hata ukienda makumbusho ya majimaji Songea Leo utaona makabuli na picha za wahanga.

Kuna mambo yaliyotokea miaka mingi kama Sumerian civilization miaka mingi tu kabla ya kristo na yana ushahidi.

Mafarao walikuwepo ushahidi upo mpaka Leo Misri.

Lakini wa Waisraeli kuishi Misri mbona haupo hata mdogo tu.
 
Nakubaliana nawe 100% ndiyo maana kwenye mihadhara yao wanatumia Biblia maana hata wao wanaamini iko sahihi zaidi ya Qur'an
 
Kama hamuamini Biblia kipi kinawafanya muitumie kuwashawishi watu wasilimu si mngetumia lile gazeti lenu la udaku
 
Mungu mfu, ni yule asiyewasaidia wafuasi wake, hasikii maombi ya wafuasi wake, mungu mfu hawezi kujipigania mpaka wafuasi wake wampiganie. Kwa habari ya Bw. Yesu, yeye pekee ndiyo anayepigania wafuasi wake wao wametulia. Tena kwa jina lake ,aina zote za malaika na mapepo wanatii hata wakiamriwa na katoto kadogo. Kama huamini, hebu jaribu kukemea nini lililompagaa Mtu kwa jina la mungu unayemwamini wewe kama pepo atatoka.
 
Hayo maneno yapo katika sura ipi ndani ya Qur'an ?
 
Kama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??
Qur an ipi inasema Yesu atauhukumu ulimwengu? Aya gani hiyo? Hebu tafuta Qur an yenye tafsiri halafu soma sura ya 19 (Mariam) huu ndio ukweli usiopingika kuhusu huyo unayemtaja. Qur an haikwekwesi wala haipindishi maneno na hakuna fumbo la imani katika hicho kitabu, ukitaka amini usipotaka endelea na imani yako ila usituletee hadithi za kufikirika humu
 
Mkuu heshima kwako, katika kitu naogopa ni uongo, Islam yeyote akikusoma hapo anajua kwamba unadanganya na sijui ni kwa faida ya nani? Hapa tupo katika kufundishana, kurekebishana pia kujisahihisha na hakuna ugomvi humu zaidi ya ubishi wa kawaida ila si uongo kama wako, mkuu neno ukishindwa kulitamka hata kuliandika ni kazi kidogo, hebu pitia uone umechemka wapi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Mtoa mada kwenye title yake alikua sahihi kusema MUSA ALIKUA MUARABU AU MYAHUDI ila amekuja kukosea aliposema Yaani muislam au mjewish(mjuda).

Kaka wewe umezidi kutupoteza baada ya kusema angeuliza Musa alikua muislam au myahudi.

Tuelewane kidogo,sisi tunashindwa kutenganisha kati ya Jewish na Judaism, ama hatuna kiswahili fasaha cha kutenganisha kati ya Jewish na Judaism. Kiurahisi kabisa Jewish ni kabila, na Judaism ni mila ama tamaduni in general ni dini/religion. Kwa hiyo mtu anawezekana akawa Jew lakin akawa ana imani ya kislam au kikristu au Judaism au akawa nonbeliever. Kwa hiyo dini ni Judaism, Muslim na Christian na zinginezo.

Kwa maelezo hayo machache mtoa mada alikua sahihi kusema Musa alikua ni muarabu au myahudi?. Hapa alitaka kujua Musa alitokea kwenye kabila ama jamii ya waarabu au alitokea kwenye kabira/jamii ya kiyahudi/Jewish.
 
Ndugu, wapo walio karirishwa na wapo wanaosoma wenyewe.!
kwa mujibu wa biblia niisomayo mimi hakuna hata sehemu moja inayosema Adamu alikuwa muislam..!
 
Ndugu, wapo walio karirishwa na wapo wanaosoma wenyewe.!
kwa mujibu wa biblia niisomayo mimi hakuna hata sehemu moja inayosema Adamu alikuwa muislam..!
Kukariri unakuelewaje ? Ndugu zetu hivi uelewa wenu ukoje ?. Kukariri ni kufuata kitu vile vile kilivyo. Ukiambiwa Mungu ni Mmoja ni hivyo hivyo tu. Sasa usipo kariri ndo unaambiwa mara mmoja kwa watatu sijui nini !
 
Moses ni finction tu,
bali kulipata kuwepo farao Tutmoses,
walibase story ya moses kutokana na huyu farao,kama walivyobase story ya Daud kwa kutumia mfalme Hazael wa Aramean empire.

Mfalme wa israel aliesimamisha kingdom ikaeleweka na ikasimama ni mfalme Omri,akaja mwana ahaziah,kina jehu,
mfano huyu omri mpaka kuna sarafu zake na mabaki ya ikulu yake yanaonekana kule samaria.

Lakini wayahudi walifanya juu chini kuchafua record zao,huku wakioverate record za machifu wa kabila dogo za kiyahudi ambalo utawala wao ulikuwa weak na masikini sana na mda wote wa uwepo wake yudah ilikuwa ni vasaal state ya ama Egypt,asyria ama persia,ama alexander the great
 
Acha uongo wewe.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…