Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unamaanisha alikuwa mkimbizi wa Burundi siyo?Hakua Arab wala Jews!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha alikuwa mkimbizi wa Burundi siyo?Hakua Arab wala Jews!
Ushahidi wa utumwa upo hata wa vita vya majimaji upo hata ukienda makumbusho ya majimaji Songea Leo utaona makabuli na picha za wahanga.Hata utumwa haukuwepo na vita vya maji maji, ni stori tu !
Nakubaliana nawe 100% ndiyo maana kwenye mihadhara yao wanatumia Biblia maana hata wao wanaamini iko sahihi zaidi ya Qur'anMimi nilikuwa muislamu safi. Niliamua kusoma koran na biblia kwa umakini Sana na kufanya utafiti WA Hali ya juu Sana tena kwa muda mrefu Sana. Nikagundua kuwa uislamu ni hadithi zaidi muhamadi aliikopy na kupest mäandishi mengi toka kwenye biblia na kuyaingiza kwenye biblia. Ukweli waislamu wanakaririshwa uongo mkubwa Sana. Wanaaminishwa mambo ya uongo mkubwa. Ndo mana pia Nikagundua pia mashehe wetu wengi hawajasoma wengi wanakaririshwa tu. Ndipo Nikagundua waislamu wengi wanatetea uislamu kwa Magomvi na mauaji. Nikagundua kuwa muislamu anaweza hubiri ulaya lkn si rahisi mkristo akahubiri bara la Asia lzm atauawa.. Nilipogundua uongo huu WA korani na ubaya na ukatili wa waarabu niliamua kuhama dini hii miaka 20 iliyopita. Hakika uislamu ni dini iliyojaa uongo ukatili ushirikina na waislamu Hawana Hofu ya mungu.
Haya alikuwa mkristo msabato umefurahi?MUISLAM ALIYEKUWA ANAABUDU JUMAMOSI (SABATO),SIYO?,FUNGUKA MAWAZO KIDOGO MKUU.
Kama hamuamini Biblia kipi kinawafanya muitumie kuwashawishi watu wasilimu si mngetumia lile gazeti lenu la udakuIla hukuona Biblia ni ya kukopi na kupesti ?!
Maana Biblia haijulikani ni Kitabu cha nani (zaburi - Daudi, Injil - Yesu, Tourat - Musa, Qur'an - Muhammad)
Biblia imejaza vitu chungumzima mpaka barua (waraka)
Bado hiyo hiyo Biblia haina Injil ya Yesu. Kuna ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo.
Ukiipata Injil ya Yesu, unitag fasta.
Soma; Luka; 1:1-2.
Hayo maneno yapo katika sura ipi ndani ya Qur'an ?Musa na Adam walikiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kuwa 'hapa Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja.
(ash'hadu ala illaha ila Allah !)
Wakati wao Muhammad hakuwepo. Hivyo hawawezi kumkiri Muhammad, wakati Manabii wengine bado walikuwa njiani. .....umeona eeh !
Qur an ipi inasema Yesu atauhukumu ulimwengu? Aya gani hiyo? Hebu tafuta Qur an yenye tafsiri halafu soma sura ya 19 (Mariam) huu ndio ukweli usiopingika kuhusu huyo unayemtaja. Qur an haikwekwesi wala haipindishi maneno na hakuna fumbo la imani katika hicho kitabu, ukitaka amini usipotaka endelea na imani yako ila usituletee hadithi za kufikirika humuKama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??
Wewe yale uliyoyaandika umeyatoa kwenye sura ipi ?Hayo maneno yapo katika sura ipi ndani ya Qur'an ?
Unashangaza,ukiulizwa swali utoe jibu na si nawewe kuuliza swali kabla ya kujibu.Wewe yale uliyoyaandika umeyatoa kwenye sura ipi ?
Mafundisho ya kurani hayawezi kujitosheleza bila kudesa ndani ya bibiliaKama hamuamini Biblia kipi kinawafanya muitumie kuwashawishi watu wasilimu si mngetumia lile gazeti lenu la udaku
Mkuu heshima kwako, katika kitu naogopa ni uongo, Islam yeyote akikusoma hapo anajua kwamba unadanganya na sijui ni kwa faida ya nani? Hapa tupo katika kufundishana, kurekebishana pia kujisahihisha na hakuna ugomvi humu zaidi ya ubishi wa kawaida ila si uongo kama wako, mkuu neno ukishindwa kulitamka hata kuliandika ni kazi kidogo, hebu pitia uone umechemka wapi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi nilikuwa muislamu safi. Niliamua kusoma koran na biblia kwa umakini Sana na kufanya utafiti WA Hali ya juu Sana tena kwa muda mrefu Sana. Nikagundua kuwa uislamu ni hadithi zaidi muhamadi aliikopy na kupest mäandishi mengi toka kwenye biblia na kuyaingiza kwenye biblia. Ukweli waislamu wanakaririshwa uongo mkubwa Sana. Wanaaminishwa mambo ya uongo mkubwa. Ndo mana pia Nikagundua pia mashehe wetu wengi hawajasoma wengi wanakaririshwa tu. Ndipo Nikagundua waislamu wengi wanatetea uislamu kwa Magomvi na mauaji. Nikagundua kuwa muislamu anaweza hubiri ulaya lkn si rahisi mkristo akahubiri bara la Asia lzm atauawa.. Nilipogundua uongo huu WA korani na ubaya na ukatili wa waarabu niliamua kuhama dini hii miaka 20 iliyopita. Hakika uislamu ni dini iliyojaa uongo ukatili ushirikina na waislamu Hawana Hofu ya mungu.
Swali lako haliko sahihi
Ni sawa na kuuliza hivi Magufuli ni Msukuma au Muislam?
Kwa kuwa inawezekana akawa ni Msukuma pia ni Muislam
Inawezekana Mtu akawa Muarabu lakin pia akawa Myahudi Ila haiwezekani Ukawa Muarabu hapo hapo Ukawa Muisrael
Uarabun ni race lakin Uyahudi ni dini
Ingekuwa Mussa alikuwa muisrael au muarabu
Au Mussa alikuwa Muislam au Myahudi?
Majibu mengine ni maswali, style hii hata Bwana Yesu katumiaUnashangaza,ukiulizwa swali utoe jibu na si nawewe kuuliza swali kabla ya kujibu.
Ndugu, wapo walio karirishwa na wapo wanaosoma wenyewe.!Muislaam wa kwanza ni Adam (Nabii Adam AS). Ni kwa mujibu wa Qur'an na mafundisho ya Kiislaam na si kwa mujibu wa tuition' za Sunday school or kipa imara.
Hivyo watu wote huzaliwa Waislaam na wengine hujitoa kwenye asili yao ya Uislaam wakabatizwa au kuasi.
Kukariri unakuelewaje ? Ndugu zetu hivi uelewa wenu ukoje ?. Kukariri ni kufuata kitu vile vile kilivyo. Ukiambiwa Mungu ni Mmoja ni hivyo hivyo tu. Sasa usipo kariri ndo unaambiwa mara mmoja kwa watatu sijui nini !Ndugu, wapo walio karirishwa na wapo wanaosoma wenyewe.!
kwa mujibu wa biblia niisomayo mimi hakuna hata sehemu moja inayosema Adamu alikuwa muislam..!
Acha uongo wewe.!View attachment 657600
Huu Msikiti upo Jerusaleem, ulijengwa na Nabii Suleyman na ndipo ulikuwa uelekeo wa Waislaam wa zamani wakati wakiswali.
Tafuta andiko kwenye Biblia kuna maneno Yesu anasema: hamtamuabudu Baba (Mungu) katika Mlima ule (Sinai) wala kule Jerusaleem, bali 'ufalme' wa Baba (Mungu) utahamishwa kwenda Taifa jingine lenye kuzaa matunda.