Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Musa na uislam wapi na wapi? Uislam ulianza karne ya 5 baada ya kristo kupaa na muasisi ni Mohammed
 
Musa na uislam wapi na wapi? Uislam ulianza karne ya 5 baada ya kristo kupaa na muasisi ni Mohammed
Ndivyo ulivyofundishwa sunday school !?
Muislaam wa kwanza ni Adam na wapili Hawa. Kwa mujibu wa Qur'an, na si kwa mafundisho ya sunday school.
 
Ndugu, wapo walio karirishwa na wapo wanaosoma wenyewe.!
kwa mujibu wa biblia niisomayo mimi hakuna hata sehemu moja inayosema Adamu alikuwa muislam..!
Biblia yenyewe huja ikariri utajuaje kama imesema au imeandikwa !
Leo imefutwa hapa, jana pale, keshokutwa kule kama katiba ya Tanzania.
 
Biblia yenyewe huja ikariri utajuaje kama imesema au imeandikwa !
Leo imefutwa hapa, jana pale, keshokutwa kule kama katiba ya Tanzania.
Unaweza kuwa mtu wa aina yake.
kubishana na mtu asiye jua na hataki kujua unaungana na upunguani wa ujuzi wake. Busara yangu inaniambia bora nikae kimya kuliko kuendelea kubishana na watu wa aina yako.
 
Naomba tafuta Qur'an ya kiswahili piga picha maneno YESU MWANA WA MARIAM yaposti hapa kuna laki moja yako
Naomba tafuta Biblia la Kiingereza tena la King James, nipigie picha mahali pameandikwa 'YESU' kuna laki mbili !
 
Unaweza kuwa mtu wa aina yake.
kubishana na mtu asiye jua na hataki kujua unaungana na upunguani wa ujuzi wake. Busara yangu inaniambia bora nikae kimya kuliko kuendelea kubishana na watu wa aina yako.
Sasa kama mtu hujui hata maana ya 'kukariri' halafu unajiona unajuua !
Kwa taarifa yako hata wanasheria wana kariri na mainjinia pia wana kariri ndo maana kuna formula.
 
Issah Bin Mariam na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti.. tafuta historia zao.
Wewe ndo umesema ! Mnadanganywa na kitabu kinachokarabatiwa kila uchwao !
Hivi kwanini Jesus aitwe Yesu !?
 
Alikuwa muisrael na dini muislam ni kwa mujibu wa quran
 
Issah Bin Mariam na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti.. tafuta historia zao.
Na pia Mungu na Allah (sw) ni tofauti.

Tofauti ni kwamba Allah (sw) Hakuzaliwa wala Hakuzaa na wala Hana mtoto.

Lakin Mungu kuna watu wanasema ana mtoto. Wanasema eti Yesu ni Mwana wa Mungu.

Hiyo ndio Tofauti.
 
Kubishana na watu wa aina yako ni ngumu sana! Malengo yenu huwa yako mahsusi Allah sio Mungu.
 
Kubishana na watu wa aina yako ni ngumu sana! Malengo yenu huwa yako mahsusi Allah sio Mungu.
Ww kama unabishana, bishana tu. Ila mm siko hapa kwa ajili ya ubishi, niko hapa kukwambia ukweli.

Eeeeh Mungu sio Allah (sw) maana Mungu ana Mtoto alafu Allah (sw) Hana mtoto. We huoni hiyo tofauti hapo ama ubishi ndio unapenda?
 
Haha watu mnasahau kuwa waarabu na waisrael ni kama wakenya na watanzania,
ni jirani pua na mdomo
ndo maana utakuta matamshi yanaelekeana.
Mfano.

AbdaAllah-AbdiEl
Omar-omri
Allah-El
ibrahim-abraham
haroun-harun
etc
 
Ww kama unabishana, bishana tu. Ila mm siko hapa kwa ajili ya ubishi, niko hapa kukwambia ukweli.

Eeeeh Mungu sio Allah (sw) maana Mungu ana Mtoto alafu Allah (sw) Hana mtoto. We huoni hiyo tofauti hapo ama ubishi ndio unapenda?
Basi sawa.
 
Dini ya kiisrael ndo dini gani !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…