getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
Issah Bin Mariam na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti.. tafuta historia zao.Sisi tunamwita Yesu mwana wa Maryam ! (Issah bin Maryam)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issah Bin Mariam na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti.. tafuta historia zao.Sisi tunamwita Yesu mwana wa Maryam ! (Issah bin Maryam)
mimi sitaki.. kwa hio kama tyson gay ni gay na wewe ni gay?Muislaam wa kwanza ni Adam AS, kwa mujibu wa Qur'an, na si kwa jinsi utavyo wewe ! Hivyo binaadamu woote ni Waislaam mpaka wewe Saint Ivuga ...weweumeasi tuu !
Ndivyo ulivyofundishwa sunday school !?Musa na uislam wapi na wapi? Uislam ulianza karne ya 5 baada ya kristo kupaa na muasisi ni Mohammed
Naomba tafuta Qur'an ya kiswahili piga picha maneno YESU MWANA WA MARIAM yaposti hapa kuna laki moja yakoSisi tunamwita Yesu mwana wa Maryam ! (Issah bin Maryam)
Biblia yenyewe huja ikariri utajuaje kama imesema au imeandikwa !Ndugu, wapo walio karirishwa na wapo wanaosoma wenyewe.!
kwa mujibu wa biblia niisomayo mimi hakuna hata sehemu moja inayosema Adamu alikuwa muislam..!
Unaweza kuwa mtu wa aina yake.Biblia yenyewe huja ikariri utajuaje kama imesema au imeandikwa !
Leo imefutwa hapa, jana pale, keshokutwa kule kama katiba ya Tanzania.
Naomba tafuta Biblia la Kiingereza tena la King James, nipigie picha mahali pameandikwa 'YESU' kuna laki mbili !Naomba tafuta Qur'an ya kiswahili piga picha maneno YESU MWANA WA MARIAM yaposti hapa kuna laki moja yako
Sasa kama mtu hujui hata maana ya 'kukariri' halafu unajiona unajuua !Unaweza kuwa mtu wa aina yake.
kubishana na mtu asiye jua na hataki kujua unaungana na upunguani wa ujuzi wake. Busara yangu inaniambia bora nikae kimya kuliko kuendelea kubishana na watu wa aina yako.
Wewe ndo umesema ! Mnadanganywa na kitabu kinachokarabatiwa kila uchwao !Issah Bin Mariam na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti.. tafuta historia zao.
Alikuwa muisrael na dini muislam ni kwa mujibu wa quranYaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Una matatizo wewe.Wewe ndo umesema ! Mnadanganywa na kitabu kinachokarabatiwa kila uchwao !
Hivi kwanini Jesus aitwe Yesu !?
Matatizo yako hapo Jesus kuitwa Yesu !Una matatizo wewe.
Na pia Mungu na Allah (sw) ni tofauti.Issah Bin Mariam na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti.. tafuta historia zao.
Kubishana na watu wa aina yako ni ngumu sana! Malengo yenu huwa yako mahsusi Allah sio Mungu.Na pia Mungu na Allah (sw) ni tofauti.
Tofauti ni kwamba Allah (sw) Hakuzaliwa wala Hakuzaa na wala Hana mtoto.
Lakin Mungu kuna watu wanasema ana mtoto. Wanasema eti Yesu ni Mwana wa Mungu.
Hiyo ndio Tofauti.
Ww kama unabishana, bishana tu. Ila mm siko hapa kwa ajili ya ubishi, niko hapa kukwambia ukweli.Kubishana na watu wa aina yako ni ngumu sana! Malengo yenu huwa yako mahsusi Allah sio Mungu.
Basi sawa.Ww kama unabishana, bishana tu. Ila mm siko hapa kwa ajili ya ubishi, niko hapa kukwambia ukweli.
Eeeeh Mungu sio Allah (sw) maana Mungu ana Mtoto alafu Allah (sw) Hana mtoto. We huoni hiyo tofauti hapo ama ubishi ndio unapenda?
Dini ya kiisrael ndo dini gani !?Ni uongo tu hata hiyo story ya Musa ni wa uongo Misri kwenyewe hakujawahi kuwepo ushahidi wa Wayahudi sijui Waisraeli kuwepo huko.
Sasa kama hyskosy ambao ni alieni kutoka Caucasus inajulikana waliwahi kutawala Misri howcome Wayahudi wasijulikane wala ushahidi usiwepo.
Endeleeni kukariri hadithi za Waarabu na Wayahudi.
Ila hata nikirudi kwenye topic yenu kwa kujitoa ufahamu Musa alikuwa Muisraeli aliyefuata dini ya kisraeli ndiye mwandishi wa Torati ambayo ndio msingi wa dini hiyo.