Hakuna myahudi muislam una maana gani?Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Suala la kuwapenda Wayahudi ni suala la mtu binafsi.Mimi siwakubali Wayahudi ukigeneralize unakosea sana.Mnaona wayahudi wenzeenu, wakati wanamuita Yesu mwanaharamu !
Jifunze kuwa mvumilivu na nidhamu. Kama huna la kusema jifunze kukaa kimya ili upate ufumbuzi wa usilolijuaYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Wapi imeandikwa kwenye quran kuwa yy ndo atahukumu,nina imani umesoma quran ukaona niambie na mimi nikasomeAbraham alikuwa anaamini katika dini gani?
Kama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??
Suala la kuwapenda Wayahudi ni suala la mtu binafsi.Mimi siwakubali Wayahudi.Mnaona wayahudi wenzeenu, wakati wanamuita Yesu mwanaharamu !
Musa alipoua Mmisri, na kutoroka , alitorokea nchi ya Midian ambao ndiyo Arabia ya Leo. Fahamu kuwa Mlima Sinai Uko Saudi Arabia ndiko Mungu aitwaye NIKO NILIYE NIKO alipomtokea Musa.hakuna kabila la waarabu katika agano la kale sidhani kama wamidian ndo waarabu wa leo...waarabu, arabuni, ni kama sehemu ya starehe ya kufikirika katika biblia its like Paradise may be sijui kama unaweza kusema waebrania ni waparadiso wa leo
Haya bn...nBora wewe[emoji84] [emoji83] umejiropokea
Mkuu kwanza utambue kuwa mm sio mwenye kukupinga ww. Twende sasa kwenye point yenyewe.Wewe wasema ! Na Jesus na Yesu ? Yohana na John ?, Jacob na Yakobo ?, Musa na Moses ?
Maelezo yangu yanabase katika Biblia ambayo Mungu anajitambulisha kwa jina la YAHWEH,au JEHOVA,.na sio Miungu wa vitabu vingine ambvyo Mimi havinihusu.Uislamu ulikuwa toka ,Adam,ndio maana waislamu wannamini Mitume kuanzia Adam ,mpaka Yesu.Mtime Muhammad sio mwanzilishi wa uislamu,yeye ni muenelezaji wa uislamu,uliokuwako,na akausakbaza dunia nzima.
Kaisome Biblia kuhusu kusulubiwa Yesu, Injil zote za wapambe wanne Marko, Luka, Yohana na Mathayo zinatofautiana.Mkuu kwanza utambue kuwa mm sio mwenye kukupinga ww. Twende sasa kwenye point yenyewe.
Issa Bin Maryam huwez kusema kuwa ni Yesu hawa watu wawili ni wanatofauti kubwa sana. Kwanza kabisa Issa Bin Maryam si mwana wa Mungu lakini Yesu wanasema kwamba ni Mwana wa Mungu. Pili wanasema kuwa Yesu alisurubiwa msalabani, wakati Issa Bin Maryam Hakufanyiwa kitendo kama hicho.
Hayo ni baadhi tu yanayo wafanya hawa watu kuwa tofauti ndio maana nasema Issa Bin Maryam si Yesu kama watu wengi wanavyo amini hivyo. Hivyo hivyo kwa Musa si sawa na Moses. Pia Allah (sw) sio Mungu.
Na Allah (sw) ni Mjuzi Zaidi.
Wakati wa Yesu akiwepo kulikuwa na Dini gani ?!Miaka mitatu baada ya Bw. YESU kupaa mbinguni. Kanisa la kwanza la Wakristo lilianzishwa pale mji wa Antiokia.
Tua mzigo wa ujinga mkui......Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Hivi umenielewa lakin?Kaisome Biblia kuhusu kusulubiwa Yesu, Injil zote za wapambe wanne Marko, Luka, Yohana na Mathayo zinatofautiana.
Qur'an inamaliza kwa kusema: wala hawana yakini (ujuzi/uhakika) na lililotokea bali ni watu wanaofuata dhana tu (uzushi) !
Biblia inasema katika matendo ya Mitume: maombi na kulia sana na machozi ndipo akasikilizwa kwa kuwa ni mwana wa mungu (Baba naomba kikombe hiki kiniepuke !)
Kulikuwa na dini nyingi tu. 1. Dini ya kiyahudi iliyofuatwa na wana wa Israeli ambayo Mungu wake ndiye JEHOVA.. 2. Dini ya Baal au molech, ambao walikuwa wakiabudu Moon Goddess (Mungu jike aliyeitwa mwezi).Wakati wa Yesu akiwepo kulikuwa na Dini gani ?!
....tatizo hatuzingatii maoni yako, tunafuata maandiko. Usichojua ni kuwa hata Biblia inaonyesha kuna contradiction kuhusu kusulubiwa Yesu, na yako maandiko wazi yanayoonyesha Yesu hakusulubiwa.Hivi umenielewa lakin?
Kwahyo ww unaamini kuwa Issa Bin Maryam eti Ndio Yesu Mwana wa Mungu.!???
We unaongea ujinga, unafikiria Biblia ni kitabu cha maana !?Hivi umenielewa lakin?
Kwahyo ww unaamini kuwa Issa Bin Maryam eti Ndio Yesu Mwana wa Mungu.!???
Na Yesu alihubiri Dini gani ?Kulikuwa na dini nyingi tu. 1. Dini ya kiyahudi iliyofuatwa na wana wa Israeli ambayo Mungu wake ndiye JEHOVA.. 2. Dini ya Baal au molech, ambao walikuwa wakiabudu Moon Goddess (Mungu jike aliyeitwa mwezi).
EBRANIA/EBREW HALIKUWA KABILA KWA MAANA KABILA KATI YA MAKABILA 12 YA WANA WA YAKOBO/ISRAEL BALI ILIKUWA NI LUGHA INAYOWAUNGANISHA WANA WA ISRAEL.YEYE MUSA NI KABILA LA LAWIYaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
MSIPANIK JADILINI KWA USTARABUWe unaongea ujinga, unafikiria Biblia ni kitabu cha maana !?