Nikuulize, Musa alikuwa na Tourat, Daudi na Zaburi, Yesu na Injil, Muhammad na Qur'an, hivi Biblia ni kitabu cha nani !? Maana kwenye hiyo Biblia hamna hata hiyo Injil ya Yesu, kuna ya Luka, Marko, Yohana na Mathayo.Kwa mjibu wa Biblia hata Musa alifundisha Jino kwa Jino.
Lakini Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie la kushoto.
Bado unashangaa Yesu kutokufundisha utatu mtakatifu?
Unapozungumzia Dini lazima kwanza uielewe hiyo Dini la sivyo utakuwa ni mmoja wa Wapotoshaji wakuu ambao upotoshaji wao husambaa kwa kasi sana hivyo unaweza ukaharibu au ukaukuza ndio maana kuna sheria zimewekwa za Takwimu na Sheria za Uchochezi. Kama Uislam huujui ni Bora kuacha kuuzungumzia.Pia sio Muislam, nimetoa tu mfano
Unapozungumzia Dini lazima kwanza uielewe hiyo Dini la sivyo utakuwa ni mmoja wa Wapotoshaji wakuu ambao upotoshaji wao husambaa kwa kasi sana hivyo unaweza ukaharibu au ukaukuza ndio maana kuna sheria zimewekwa za Takwimu na Sheria za Uchochezi. Kama Uislam huujui ni Bora kuacha kuuzungumzia.
Ukimuuliza Sheikh yeyote atakuambia Nini maana ya Uislam so ukishaipata Tafsiri ya Neno au Imani ya Uislam hata wewe unaweza ukawa ni mmoja wa hiyo Dini so Wanaposema Adam alikuwa ni Muislam ni kwa Sababu ya Tafsiri ya Imani ya Uislam. hivyo Magufuli pia akifanya vitu vinavyofanania na Uislam yawezekana naye wakamuita hivyo ila kama kuna utofauti hawawezi kumuita hivyo.
Watu imefikia anaweza kuisemea Dini fulani kwa majidai haswa but unakuta haifahamu kiundani. Mussa Waislam humuita ya kuwa alikuwa ni Mtume wa Mungu kwa Waisrael na husema alikuwa akiufuata Uislam.
Kuna Siri kubwa Sana katika Imani tokea Historia ilipoandikwa kuna mabadiliko Mengi sana jinsi ya Kumuabudu Mungu wamepita watu wengi sana kwa Njia zao walizoziamini wao na kuwafikishia Watu wengi wakakubalika na walipingwa pia na Mizizi imeota hadi leo hii. Kinachongojwa ni Unabii wao kama Utatokea kweli na watu washuhudie, kama Ishara zimetokea sana na zimepita ila bado watu wanaamini siku bado haijafika.
Mtoa Mada ni mvvu tu wa Kusoma sababu Vitabu vya Dini ndio vina majibu yote ayatakayo yeye anakuja jf kuleta mijadala am sure kuna wengine watabeba Dhambi zao kwenye hii mijadala sometimes mimi naona labda nisome tu na nijiepushe nayo Elimu ya Dini niliyo nayo inanifanya niishi vizuri, kumuudhi mtu ni utashi tu wa Binadamu na Dini huleta Amani
Biblia ni neno la kigriki lenye maana ya kitabu.Ni mkusanyiko wa maandiko ya kale ambayo yaliaminiwa na wahusika kuwa matakatifu.Nikuulize, Musa alikuwa na Tourat, Daudi na Zaburi, Yesu na Injil, Muhammad na Qur'an, hivi Biblia ni kitabu cha nani !? Maana kwenye hiyo Biblia hamna hata hiyo Injil ya Yesu, kuna ya Luka, Marko, Yohana na Mathayo.
Uwezo wako mdogo ndugu, huna elimu ya dini.
.....ila hujui kuwa Yesu kafundisha upanga kwa upanga, na hakuleta Amani bali vita !Kwa mjibu wa Biblia hata Musa alifundisha Jino kwa Jino.
Lakini Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie la kushoto.
Bado unashangaa Yesu kutokufundisha utatu mtakatifu?
Amewahi! Sasa hicho kina uhusiano gani na hapa......ila hujui kuwa Yesu kafundisha upanga kwa upanga, na hakuleta Amani bali vita !
......haaa....haaa...haaa ! No wonder wanaibuka watu wanasema ni Manabii wametumwa na Yesu na wakiristo wanajazana !Akili yako fupi huwezi kuelewa ndo maana nikakuuliza unajua maana ya umoja.
Hujui hata Tanzania ni nchi moja inayoundwa na Tanganyika na Zanzibar.
Dar es salaam ni mkoa mmoja unaoundwa na wilaya za Ilala,Temeke,Kinondoni,Ubungo na Kigamboni.
Hata Mohamed hapishani na hao kwa sababu hata yeye alikuwa Mbakaji.Alimbaka Aisha mtoto wa miaka tisa.......haaa....haaa...haaa ! No wonder wanaibuka watu wanasema ni Manabii wametumwa na Yesu na wakiristo wanajazana !
Huyo aliyekusanya katumwa na nani ?Biblia ni neno la kigriki lenye maana ya kitabu.Ni mkusanyiko wa maandiko ya kale ambayo yaliaminiwa na wahusika kuwa matakatifu.
Humo kuna mkusanyiko wa maandiko ya Musa,Suleiman,Isaya,Danieli,Daudi,Paulo etc.
Una kingine.....
....kina uhusiano na kupigwa makofi shavuni.Amewahi! Sasa hicho kina uhusiano gani na hapa.
.......kumbe mpumbavuu !Hata Mohamed hapishani na hao kwa sababu hata yeye alikuwa Mbakaji.Alimbaka Aisha mtoto wa miaka tisa.
By the way mimi sio mkristo wala Muislamu.Siamini katika Biblia wala Qur'an kwa sababu ni story za kutungwa na kufikirika tu.
Mbona unahama kwenye reli.Hayo sio tuliyokuwa tunayajadili.....kina uhusiano na kupigwa makofi shavuni.
Umeona hoja zinakubana, sasa una amua kuwa mpumbavu !Hata Mohamed hapishani na hao kwa sababu hata yeye alikuwa Mbakaji.Alimbaka Aisha mtoto wa miaka tisa.
By the way mimi sio mkristo wala Muislamu.Siamini katika Biblia wala Qur'an kwa sababu ni story za kutungwa na kufikirika tu.
.....contradiction za Qur'an uzijue wewe !?Mbona unahama kwenye reli.Hayo sio tuliyokuwa tunayajadili.
Nipe sababu za kwa nini Yesu na Issa ni mtu mmoja.
Ukitaka tujadili hayo nipo tayari kwa sababu hata Qur'an ina contradiction nyingi tu kama Biblia.
Mbona nilisema toka naanza kuchangia huu Uzi nikawaambia hayo mnayojadili ni mambo ya kufikirika tu.Wewe ndo ukaniquote ukasema walikuwepo watu kama mimi toka zamani.Umeona hoja zinakubana, sasa una amua kuwa mpumbavu !
Why do you involve yourself !? Tafuta ulanzi unywe.Mbona nilisema toka naanza kuchangia huu Uzi nikawaambia hayo mnayojadili ni mambo ya kufikirika tu.Wewe ndo ukaniquote ukasema walikuwepo watu kama mimi toka zamani.
Mimi siamini katika huo upumbavu wa vitabu vyenu vya kufikirika na kutungwa(japo naamini Mungu yupo).
Hoja ipi iliyonibana,Uliyebanwa ni wewe uliyeshindwa kunipa sababu za Yesu na Issa kuwa sawa unarukia rukia mambo tu.
Kuna vitabu na maandishi ya zamani kuliko hata Qur'an na Biblia kama Book of the dead cha ancient Egypt......contradiction za Qur'an uzijue wewe !?
Mwenyezi Mungu amekisifu ni Kitabu kisicho na shaka (maana vingine ni mashaka matupu !) na yeye mwenyewe anakilinda na kukihifadhi (ndio maana mpaka leo kina original language yake)
Ukibadilisha herufi yake moja tu, Dunia nzima inajua.
Ndugu yangu Nakusihi na kuihusia Nafsi Yangu ebu achana kujibizana na hao watu Tafadhali. Unaona mpaka wanamdhiaki Mtume Muhammad ww bado unaendelea nao. Hebu achana nao Tafadhali.Umeona hoja zinakubana, sasa una amua kuwa mpumbavu !
Malizia vmekazavyuma baba