.....nilikwambia mgalatia afundishe Qur'an itakuwa maajabu !
Nimegonga mule mule, unaanza kuruka ruka na kupost madudu !
Huu ujinga kaa nao tuu ila kuna watakao pita na watafaidika na posti zangu.
QURAN NI KITABU KILICHOJAA UTATA, SHAKA, KISICHO NA MWELEKEO NA MTIRIRIKO WA HOJA
Tunaponukuu aya yenye utata, chuki au ya kuanika uongo wa Waislamu kwenye Qur'an, Waislamu huja juu na kuipinga vikali huku wakisema kuwa aya hiyo haijakamilika hadi tusome aya inayoitangulia juu yake, au inayoifuatia chini yake.
Kwa maana hiyo basi, embu tuzitazame hizi aya zilizoandikwa kwa &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];mtiririko' wa namba 191, 192, 193, 194 na 195 tuone kama kweli zinajenga hoja ya mtiririko na utashangazwa sana vile Kuran inayodaiwa kuwa ni mwongozo mzuri wa Waislamu.
KUMBUKA: Maelezo yangu nimeyaweka kwenye mabano (&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]
😉
QUR'AN: Sura Al Baqara 2:191-195:
******************************************
191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
(&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];kama fitina ni mbaya kuliko kuuwa ya nini basi muwauwe? Mara msiwapige kwenye Msikiti mtakatifu mara wapigeni, ipi ndio ipi? Anayelipiza ni Waislamu au ni Allah?)
192. Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
(&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];nani asamehewe hapa, makafiri au Waislamu maana wote wametenda dhambi kwa kupigana)
193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.
(&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];lakini si Mwenyezi Mungu amesema kwenye aya ya 192 kuwa ni mwenye kusamehe, vipi tena awaamuru mpigane nao (makafiri?))
194. Mwezi mtakatifu kwa mwezi mtakatifu. Na vitu vitakatifu vimeekewa kisasi. Anaye kushambulieni nanyi mshambulieni, kwa kadiri alivyo kushambulieni. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu.
(&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];hivyo kushambulia anayekushambulia ndio kumcha mungu? SERIOUSLY????)
195. Na toeni katika njia ya Mwenyezi Mungu, wala msijitie kwa mikono yenu katika maangamizo. Na fanyeni wema. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.
(&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];lakini Mwenyezi Mungu si amesema kwenye aya za 191, 193 na 194 kuwa mpigane nao na kuwauwa. Vipi tena anawaagiza msiwaangamize kwa mikono yenu?)
TATHMINI:
Qur'an ni kitabu kilichojaa utata, fitina, chuki, shaka, na kibali cha kuuwa wasio Waislamu.
Aya zake hazina mtiririko. Kila aya inajisimamia kivyake na haihusiani na aya inayoitangulia au kuifuatia.
Kwenye aya moja, Allah anaamuru wafuasi wake kuwapiga wasio Waislamu huku nyingine kuwasamehe. Ifuatwe ipi?