Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Watu wa Jumamosi wamezungumzwa ndani ya Qur'an na waligeuzwa manyani. Qur'an ni mwongozo na hakuna tusilolijua kupitia Qur'an.
Ni jinsi mnavyoaminishwa
Waarabu ni waislam
Musa hakuwa mwarabu alikuwa ni mjew
Na wajews mpaka leo ni wa Judaism
Nyie mnaaminishwa
 
Ni jinsi mnavyoaminishwa
Waarabu ni waislam
Musa hakuwa mwarabu alikuwa ni mjew
Na wajews mpaka leo ni wa Judaism
Nyie mnaaminishwa
Hivyo Musa alifundisha ujew ! Vipi Daudi yeye alifundisha nini !?
Hao wote wanajua kuwa Yesu ni mungu ?
 
Wagalatia hamna mnachokijua !
Ukiristo wako huujui, bali utamkuta mgala yuko biizee anausemea Uislaam !
Sisi tunasoma dini kwanza (madrasa) wakafi nyie mmeachia dini mapadre na manabii wa uongo. How come mtu anasimama anakwambia kaongea na Yesu halafu kanisa zima linalipuka kwa shangwe !
Nimekujib kwa jinsi nilivyokuelewa, hueleweki na wewe
Ni kama unaniuliza kama nilifundishwa ukurya
 
Nimekujib kwa jinsi nilivyokuelewa, hueleweki na wewe
Ni kama unaniuliza kama nilifundishwa ukurya
Hizi aya ndio zinamsilimisha Musa AS na Yesu AS.
'Na wakasema: kuweni Wayahudi au Wakiristo ndio mtaongoka. Sema: bali (sisi) tunashika mila ya Ibrahim mwongofu. Wala hakuwa katika washirikina (waabudu sanamu)

'Semeni nyinyi (Waislam): Tumemwamini Mwenyezi Mungu na yale tulioteremshiwa sisi (Qur'an) na yale yalioteremshwa kwa Ibrahim na Ismael na Is'haq na Yaakub na wajukuu zake, na waliyopewa Musa (Tourat) na Issah (Yesu -Injil) na yale waliopewa Manabii wengine (Zaburi) kutoka kwa Mola wao Mlezi.
(sisi waislam) hatutofaitishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake (Mwenyezi Mungu)
Qur'an: 2:135-136. Gangongine

kwa mujibu wa Biblia niliyoisoma nikiwa mdogo Musa ni Hebrew/Muisrael.

Nikurudishe Nyuma.

Alikuwepo Ibrahim akamzaa Isaka na Ishmael. Isaka akawazaa Esau na Yakobo[israel] Yakobo kupitia kwa Mama yake Rebbeca akampora kaka yake haki yake nilishangaa saana baadae alipokuja kubarikiwa.

Baadae Yakobo akawazaa wana 12 sitawakumbuka wote ila Yusufu akiwemo na ndugu ye Benjamini.

Baadae wakiwa machungani ndugu 11 wakamuuza mwenzao mmoja ambaye ni Yusufu kwa watwana wa ki-ishmael wakampeleka misri akawa mtumwa kule. Nifupishe.

Balaa la njaa likatokea dunia yote likaikumba Kaanan Yordan na viunga vyake likawapitia Yakobo na jamii yake.

Misri ilikuwa na hifadhi kubwa ya Chakula wakakimbilia misri wakamkuta nduguye Yusufu akawasaidia.

Wakaishi kule hadi alipokuja Farao mtata akawafanya Watumwa jamii yote ile. Mwisho wakazaliwa Mussa Haruni na wengineo hivyo Mussa ni Mwebrania kutoka uzao wa Ibrahim ukoo wa Lawi.

Yakuzingatia hapo juu.

-musa ni mwebrania
-Waisrael waliitwa Israel baada ya Yakobo kupewa hilo jina Na Mungu.
-Waisrael walijipeleka wenyewe Utumwani.
-kwa mujibu wa Biblia kipindi hicho hapakwepo na Hizi dini bali kufuata Mungu.
-wakati Yakobo anaenda Israel na jamii yake kutoka Caanan nchi ya Caanan ilikuwa siyo yao walikuwa wanakalia eneo dogo tu la baba yao.

Asante. Ninampango nikasome upadree sema tu Umri umenitupa.

Ni jinsi mnavyoaminishwa
Waarabu ni waislam
Musa hakuwa mwarabu alikuwa ni mjew
Na wajews mpaka leo ni wa Judaism
Nyie mnaaminishwa
 
Wagalatia hamna mnachokijua !
Ukiristo wako huujui, bali utamkuta mgala yuko biizee anausemea Uislaam !
Sisi tunasoma dini kwanza (madrasa) wakafi nyie mmeachia dini mapadre na manabii wa uongo. How come mtu anasimama anakwambia kaongea na Yesu halafu kanisa zima linalipuka kwa shangwe !
Yote yameandikwa kwenye biblia
 
JIBU HIZO HOJA. 1.Nani kateremsha(kama kweli iliteremka) Qurani. Jibril au Roho Mtakatifu?
2.SHETANI yuko kwenu amesilimu na mnasali naye Msikitini. Hiyo ndio dini ya Mwenyezi Mungu kweli?
Ndio maana kila jini ni muislam... maana unasikia eti yako.mazuri na mabaya... but yote yanaswali miskitini.
 
Kuwa Neutral then tumia akili
Jiulize kwann hamna myaudi muislam angali Mussa na Yesu walikuwa wayaudi
Uyahudi ni kabila usiwe mjinga !
Yesu alikuwa ni Mnazareti si myahudi.
Mbona na wewe hujiuliza kuwa kama Yesu ni mwana wa mungu, sijui mungu mwenyewe, mbona wayahudi hawamfuati wala kumuabudu !?
 
Musa nimwisrael
Anatoka kabila la walawi
Kumbuka lawi nimtoto mmoja wapo Wa Israel au Jacob
Nandio maana mwenyenzi Mungu aliwapa walawi kuongoza Nyumba yake katika ibada
Harun Ndugu yake mussa
Kabila ni hilo Lawi, Dini yake ni ipi huyo Musa !?
 
Ni jinsi mnavyoaminishwa
Waarabu ni waislam
Musa hakuwa mwarabu alikuwa ni mjew
Na wajews mpaka leo ni wa Judaism
Nyie mnaaminishwa
'Na hakika mlikwisha yajua yale wale miongoni mwenu walioivunja Sabato (siku ya mapumziko jumamosi) na tukawaambia: kuweni manyani.
Qur'an: surat bagarah.

'Walipojifagharisha katika waliyo kanywa, tuliwaambia: kuweni manyani.
Qur'an: surat al a'raaf.
 
Back
Top Bottom