crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Alikua Myahudi wa Masri na Muislam. Akiamini Mungu Mmoja na yeye ni Mtume wake. Amri 10 alizo pewa ni za waislam .
Aliwakimbiza wayahudi kwao Masri kukimbia mateso ya Pharao na kuwapeleka ukimbizini Philistine.
Wakimbizi hawa wa Masri sasa wanasema Philistine ni yao