Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Mkuu acha uchochezi
 
Mussa alikuwa ni muislam,, na amezungumzwa kwenye qurain,, na hata kitabu alichopewa na MUNGU torati pia Kimezungumzwa kwenye qurain,, TORATI ya MUSSA,, ZABURI ya DAUD,, INJILI ya ISSA,, (YESU) FURQAIN ya MUHAMMAD (SAW) hivyo ndivyo ilivyozungumzwa,,, na MUSSA alikuwa ni MYAHUDI hakuwa MUARABU,,,
 
Mkuu acha uchochezi
Huu si uchochezi ni fact. Na fact hii naitoa katika kitabu kilicho kizee kuliko vitabu vingine vyote( Bible). Unayesema ni uchochezi unabase kutoka kitabu gani?. Kwa taarifa yako, mke wa Musa alikuwa Mmidiani( muarabia) upo hapo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…