Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

Hongera sana Mwakinyo kwa ushindi..msimamo wako endelea nao...wabongo roho mbaya tu..wew level yko ipo juu, uwez kucheza mchangani
 
Mbona ameshasema anayetaka kupigana nae aende anapofanyia mazoezi, hawezi kupigana na mabondia hovyo hovyo eti anagombania toyota crown
 
Twaha hayuko kwenye level za Mwakinyo jombaa! Nini mnashindwa kuelewa? Stori za vijiweni mnapotoshana sana.

Anyway Mwakinyo alitoa rai kwa bondia anayetaka kupambana nae amfuate kwenye mazoezi ajipime nae.
Mwambieni Twaha awashe crown aende kwa Mwakinyo
 
Kama ina kanuni kwanini mwakinyo hataki kupigana na kiduku?
 
Kwa hiyo ngumi na zenyewe ni Dakika 90?
Ni ujinga kufananisha ngumi na football
 

Ameshawaambia amepambania brand yake mda mrefu na ameijenga vyema pia hata uzito wao ni tofauti twaha ni bondia nyota 2 na mwakinyo ni bondia nyota 4 twaha kiduku atafute mapromota wamtafutie mapambano ya nje ya level za juu ashinde apande afikie angalau nyota 3 pia hata uzito wanaangalia twaha ana uzito mkubwa kuliko mwakinyo 75kg/65kg hamuoni yofauti ngumi ni biashara watanzania tujifunze kutengeneza brand tuache mapambano ya kihuni ya kugombania magari kuna hatari mwakinyo tunaweza tusimuone tena kwenye mapambano haya ya bongo akapata kampuni akaenda kupigana kwa pesa ndefu tuheshimu kazi za watu na brand ya mtu tuache wivu ukweli unauma
 
Mbona ameshasema anayetaka kupigana nae aende anapofanyia mazoezi, hawezi kupigana na mabondia hovyo hovyo eti anagombania toyota crown
Hili nalo neno. Kama ni kupigana kiduku aende kwenye dojo ya HM au amutukanie mzazi wake.

Tumechoka sasa na na Mapromota wa Kiduku.

Kama alikuwa anataka kupanda angeenda akakaza mk.nd kule Urusi
 
Ni tofauti kabisa na mchezo huu, ukipigwa na alie chini yako unapotea, lakini pia kila pambano linalopangwa na Management yake kuna vitu wanazingatia sio pesa tu bali faida ya pambano katika kupiga hatua zaidi duniani, sasa hawezi kupigana na underground ili apate sifa na kumaliza ubishi wa wabongo [emoji2][emoji2]
 
Ulitaka mpaka mtu afe pale ndyo refa amalize pambano acheni ushabiki maandazi Indongo kazidiwa anabaki kukumbatia tu
 
Mtoa uzi na wanamsapot wote wshamba na asili yao watu wa kanda ya ziwa na moshi au arusha

Mna chuki binafsi kisa ni mtu wa tanga kaaeni mtulie ngumi hamjui fuatilia pambano

Kaangalie la salim mtango kule nje TKO iliamuliwa vip
Hawajui ndondi hao! au sijui walitaka Indonga auwawe ndio waamini kapigwa kihalali
 
Nlikua najiuliza hivi kwa Nini tz hatuendelei ktk nyanja zote Kama mataifa mengine ila Sasa tayari nishapata majibu hapahapa,nawashukuru comrades...
 
Watapigana vip wakati wapo kwenye rank tofauti na uzito tofauti

Watakuwa wanapigana kutafuta nini au kushindania nini?

Wapigane eti kwa sababu ya kupata sifa?

Wabongo bwana.......

Hivi nyie mnazijua Sheria za mchezo wa box duniani?

Unajua kama wapo mabondia waliopigana na Kiduku na Mwakinyo?

Kupandisha au kushusha uzito inawezekana SANA tu

Isipokua hoja ni kwamba Mwakinyo kwenye malengo yake ili yatimie hana muda wa kuanza kupigana na akina Kiduku

Kama wakina kiduku wanataka kweli kupigana na Mwakinyo wapandishe cv zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…