Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

Kama ni hivo kwanini huwa bench la ufundi inaonyesha taulo sometimes wakati refa yupo?

Mkuu kuna vitu vinapimika bila ubishi lakini kuna vitu inategemea

Kigezo cha msingi ni kwamba bondia anapigwa bila majibu na ameelemewa
Kinachofuata ni mtazamo wa refa kwajinsi anavyoona...... sio sawa na kupima kwamba sasa hii ni kilo moja inatosha au futi

Sasa kama benchi la ufundi wakiona kwa jinsi bambano linavyokwenda bondia wao ataadhirika wanaruhusa ya kurusha taulo

Mara nyingi sana mabondia wanaopingwa kwa style hii huwa hawaridhiki lakini ndio kanuni mkuu
 
Alichoniudhi refa wa jana maana yeye ndio kaharibu pambano alitakiwa avumilie kidogo tu yule jamaa angeongezwa ngumi chache angekwenda chini
Ni kweli kabisa, angesubiri muda kidogo tu, tungeshuhudia KO
 
Tena ngumi zenyewe alikua anazikwepa. Aibu kwa waamuzi wetu. Kama yule wa Tony na msouth et refa anasema too much running wakati inaruhusiwa.
Huyo refa mpuuzi.

Sheria ya ngumi inasema piga na zuia usipigwe .

Kwa hiyo pigana vyovyote unavyojua wewe kikubwa usivunje sheria
 
Mtoa uzi na wanamsapot wote wshamba na asili yao watu wa kanda ya ziwa na moshi au arusha

Mna chuki binafsi kisa ni mtu wa tanga kaaeni mtulie ngumi hamjui fuatilia pambano

Kaangalie la salim mtango kule nje TKO iliamuliwa vip
Hata Francis Cheka alipokuwa kwenye ubora wake walimuandama hivihivi mpaka akapotea. Watu wengine upinzani ndio utamaduni wao!!
 
Mimi najua maana yake ndio maana nimeandika hivyo..Nikuulize wewe unajua maana yake?
Sizani kama unaelewa vzuri maana ya professional player.
Kuwa mkweli ueleweshwe.
Mwakinyo ni professional player pia kiduku ni profesional player utofauti ni katika uzto.
 
Sizani kama unaelewa vzuri maana ya professional player.
Kuwa mkweli ueleweshwe.
Mwakinyo ni professional player pia kiduku ni profesional player utofauti ni katika uzto.
Hauwezi kunielewesha mimi labda wewe ndio Ueleweshwe mwanzo ulikanusha ulitaka kusema mwakinyo sio professional player halafu sasa hivi unasema mwakinyo ni professional player .
Kifupi ni hivi kiduku hawezi kufika level za mwakinyo atabakia kupigana na dullah mbabe
 
Ile ni TKO ndugu zangu.

Mtu akipigwa ngumi 5 bila kurudisha Referee au upande wake (kocha) wanaweza sitisha pambano.

Kumbuka pambano ya Wilder Vs Furry.
Referee wa Wlder ndio alisitisha pambano kwa kurusha kitaulo.

#YNWA

Ngumi hujui .

Fuatilia michezo mingine tu.
 
Huyo refa mpuuzi.

Sheria ya ngumi inasema piga na zuia usipigwe .

Kwa hiyo pigana vyovyote unavyojua wewe kikubwa usivunje sheria
Yule refa mhandisi wa ndege(rtd)John chagu
Ni mzoefu,wa kuchezesha ngumi!
Sijui kama alifanya kitu tofauti

Ova
 
Kwahyo Debut ndio kuacha ngumi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Watanzania acheni ujuaji

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Pambano la mwisho kacheza 2009 ndio maana nikasema ni sawa na kuacha ngumi…hiv mtu toka 2009 ndo kacheza mchezo wa mwisho ndo unamleta bongo kwenye ngumi na mwakinyo?
 
Huyo refa ni zao la tume
 

Lini simba na Yanga zilienda kucheza ndondo cup ili kuzipa uzoefu team ndogo?!
 
Ngumi ni biashara we unadhani wanapigana kupata sifa baadae waje kuteseka na magonjwa sugu uzeeni...angalia rank ya huyo bondia hapo anashika nafasi ya 40 duniani kati ya mabondia 1691 wa uzito wake.

Mwakinyo anashika nafasi ya 24 kwa hiyo kumpiga huyu anazidi kujitengenezea record yake na atazidi kupata mapambano makubwa zaidi
 
Pambano la mwisho kacheza 2009 ndio maana nikasema ni sawa na kuacha ngumi…hiv mtu toka 2009 ndo kacheza mchezo wa mwisho ndo unamleta bongo kwenye ngumi na mwakinyo?
Watanzania kwa ujuaji ni kiboko yaani we hata kiingereza hujui unajifanya unajua nyie ndio mnapotosha watu mitaani kwa ujuaji wenu.

Hiyo debut haimaanishi pambano lake la mwisho Bali pambano lake la kwanza alicheza 2009 punguani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…