Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

fcb2a89d-dfe1-4105-84f9-6adcc33c2b47.jpg
 
Nenda jukwaa la afya. Ila kwa navyoelewa mimi wanawake ni rahisi sana kupata UTI hata kwa kushare tu vyoo ambavyo sio safi. Haina maana kua amechepuka
Unaumri Gani wewe hospitalini au matibabu GONO haiitwi GONO ,wanaita u.t.i.... kunatofauti u.t.i ya chooni unayosema na GONO , endapo itakua u.t.i yakawaida hutaambiwa kamlete mweza wako ,ukiona umeambiwa kamlete mweza wao au swali unamweza Jua tayari 99% umeambukizwa n ukimwi

Madaktari mnaraha ,wengine hupima UTI Kwa kutia vidole wanawake ,utasikia lala hapo ,jamaa anaingiza kidole.....daaaaa
 
[emoji23]
 
Ki maumbile mwanamke ni rahisi sana kupata UTI na muda mwingine hata sio kwa kuchepuka. Zungumza na mwezako.
unazungumzia u.t.i ipi ,usijumlishe swala la UTI katika matibabu limekua Halina tofauti na DNA kwenye ndoa ,....Kuna UTI nyingine huulizwi kama unamke utaabiwa unabakteria wengisana Sana(hapa mwanamke anapewa dawa dozi hakuna shida)

Pili,Kuna UTI ya mchongo (GONO),hii lazima uulizwe unamweza au aliyekuambukiza unaweza mleta ,kwani utatibiwa pekeako itajirudia simkeo utaenda kumpelekea moto ,namwanamke kujitambua ana UTI nizaidi ya miezi 5 ,mleta mada anazungumzia hii hapa UTI ya mchongo
 
Dokta anakuonea aibu wewe ni nani?
 
[emoji23]
Jamii zisizostaarabika wanatabia ya kuleta statement jumuishi kuficha Jambo kwenye jamii ,GONO bongo hapa ni zaidi ya upatikanaji wa nyanya (imefichwa kwenye UTI),nawahanga wanawake hupakaziwa kilakitu na hii kwasababu wao ndo wenye UTI yakweli ya chooni ,baada ya kuona oooohooo ndoa zitavunjika zooote tuie UTI ,tofauti yake Moja hamtibiwi kwapamoja (utasikia unabakteria 3000 ,meza dawa Sana kunywa maji) , UTI ya mchongo lazima uulizwe unamke au unamume
 
UTIs are not STIs. Even though sex can get a UTI started, a UTI is not a sexually transmitted infection (STI). The bacteria that cause UTIs are not passed from person to person during sex. These bacteria live normally in your body all the time
 
Back
Top Bottom