Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na UKIMWI? Hii sio ishara ya kuchepuka?
Motto Nditi unataka kujua vilivyomo ndani ya skirt,ndio ukome nenda kapime ukimwi na ghonorhea maana waga vinaenda pamoja na uti
 
Tunatumia Tafsida tu wakuu ila UTI haiambukizwi kwa ngono ukiona chini kunauma kiuno kinauma mkojo unauma homa ujue ushayavagaa tayari GONO
Ebwana! Nilikua nasikia homa, kiuno kinauma ila mkojo na chini hakukua kunauma, sasa inakuaje?
 
Kwamba gonorrhoea inaweza ambukizwa hata kwa sex? Wanajamiiforum mimi natubu leo, nafanya mpango wa kurudiana na mke wangu na kutulia
 
Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na UKIMWI? Hii sio ishara ya kuchepuka?

Mwanamke hata asipo sex UTI inaweza kumpata na kumtafuna vilevile
 
Back
Top Bottom