Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

unazungumzia u.t.i ipi ,usijumlishe swala la UTI katika matibabu limekua Halina tofauti na DNA kwenye ndoa ,....Kuna UTI nyingine huulizwi kama unamke utaabiwa unabakteria wengisana Sana(hapa mwanamke anapewa dawa dozi hakuna shida)

Pili,Kuna UTI ya mchongo (GONO),hii lazima uulizwe unamweza au aliyekuambukiza unaweza mleta ,kwani utatibiwa pekeako itajirudia simkeo utaenda kumpelekea moto ,namwanamke kujitambua ana UTI nizaidi ya miezi 5 ,mleta mada anazungumzia hii hapa UTI ya mchongo
Wewe jamaa mjanja mjanja tu afu unaonekana utakuwa mtu wa Pwani!!
 
Uti ni ugonjwa wa wanawake, sio ugonjwa wa zinaa ila kwa wanaume maranyingi huambukizwa kwa kujaamiiana na mwanamke wa ugonjwa huo ila kwa wanawake wanaupata kwenye chupi chafu, mabafu na eêvyoo vyaa public, bleed nk
Hapa ndio huwa sielewi yaan sio Zinaa ila wapanata kupitia kujamiiana!!

Hebu vunja vunja hizo bonds tuelewane mkuu
 
Hebu geuka tuone huo ubao mkuu wangu
Sawa
FB_IMG_1659472311303.jpg
 
Kupata UTI sio lazima kuchepuka kuna sababu nyingi.
Wanawake wao kupata UTI ni jambo rahisi kuliko wanaume hususani immunity yao ikiwa ni ndogo, na kitu kinachosababisha immunity kuwa ndogo ni ujauzito kisukari na magonjwa mengine pia namna mtu anavyooga au kutawadha. Lakini pia maji tunayotumia kuogea yanaweza kusababisha UTI kwa mfano huku Tanga kipindi cha hivi karibumi watu wengi wameumwa na UTI ikiwemo mimi kwa sababu maji yalikua machafu na kuna kipindi yalikata kabisa
 
Umedhihirisha vipi kama umeambukizwa na mkeo??? Vipi wewe huko nje hukurukatuka ???
 
Back
Top Bottom