dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
kama nakuelewa hiviJamii zisizostaarabika wanatabia ya kuleta statement jumuishi kuficha Jambo kwenye jamii ,GONO bongo hapa ni zaidi ya upatikanaji wa nyanya (imefichwa kwenye UTI),nawahanga wanawake hupakaziwa kilakitu na hii kwasababu wao ndo wenye UTI yakweli ya chooni ,baada ya kuona oooohooo ndoa zitavunjika zooote tuie UTI ,tofauti yake Moja hamtibiwi kwapamoja (utasikia unabakteria 3000 ,meza dawa Sana kunywa maji) , UTI ya mchongo lazima uulizwe unamke au unamume