Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

kama nakuelewa hivi
 
Uti ni ugonjwa wa wanawake, sio ugonjwa wa zinaa ila kwa wanaume maranyingi huambukizwa kwa kujaamiiana na mwanamke wa ugonjwa huo ila kwa wanawake wanaupata kwenye chupi chafu, mabafu na eรชvyoo vyaa public, bleed nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ