Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

Wewe jamaa mjanja mjanja tu afu unaonekana utakuwa mtu wa Pwani!!
 
Uti ni ugonjwa wa wanawake, sio ugonjwa wa zinaa ila kwa wanaume maranyingi huambukizwa kwa kujaamiiana na mwanamke wa ugonjwa huo ila kwa wanawake wanaupata kwenye chupi chafu, mabafu na eΓͺvyoo vyaa public, bleed nk
Hapa ndio huwa sielewi yaan sio Zinaa ila wapanata kupitia kujamiiana!!

Hebu vunja vunja hizo bonds tuelewane mkuu
 
Kupata UTI sio lazima kuchepuka kuna sababu nyingi.
Wanawake wao kupata UTI ni jambo rahisi kuliko wanaume hususani immunity yao ikiwa ni ndogo, na kitu kinachosababisha immunity kuwa ndogo ni ujauzito kisukari na magonjwa mengine pia namna mtu anavyooga au kutawadha. Lakini pia maji tunayotumia kuogea yanaweza kusababisha UTI kwa mfano huku Tanga kipindi cha hivi karibumi watu wengi wameumwa na UTI ikiwemo mimi kwa sababu maji yalikua machafu na kuna kipindi yalikata kabisa
 
Umedhihirisha vipi kama umeambukizwa na mkeo??? Vipi wewe huko nje hukurukatuka ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…