Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na ukimwi? Hii sio ishara ya kuchepuka?
1.UTI is not sexually transmitted
2.UTI is highly over-diagnosed in Tanzania (watu wengi sana wanasingiziwa UTI ambazo hata hawana wala hawajawahi kuwa nazo, hasa wanaume).
3.Ni ngumu sana sana kisayansi kwa mwanaume mtu mzima kupata UTI, isipokua tu wale wenye risk factors fulani fulani (eg Wanaokojoa kwa kutumia mipira, wenye ugonjwa fulani wa kimaumbile wa kuzaliwa kwenye mfumo wao wa mkojo).
 
Nenda jukwaa la afya. Ila kwa navyoelewa mimi wanawake ni rahisi sana kupata UTI hata kwa kushare tu vyoo ambavyo sio safi. Haina maana kua amechepuka
Tuliambiwa humuhumu UTI haiambukizwi kwa sex
 
Kuna mchangiaji humu alisema ukiona mtu ameandikiwa sindano aina ya powersafe ujue ana UTI ya mchongo
 
Catheter
 
Cervical excitation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂We unasema wengine wanawalamba kabisa wanaume wana siri nyingi sana
Huwa tunajizima data sana aisee, maana kuna wakati tunalamba na kufyonza mpaka demu unayemfyonza anakushangaa huo ujasiri wa kumfyonza tigo umeupata wapi

Ila kwa sababu anasikia utamu anakukaushia tu
 
Huwa tunajizima data sana aisee, maana kuna wakati tunalamba na kufyonza mpaka demu unayemfyonza anakushangaa huo ujasiri wa kumfyonza tigo umeupata wapi

Ila kwa sababu anasikia utamu anakukaushia tu
Mhhh poleni sana aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…