Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Inawezekana lakini ni kwa nadra sana,ila mwanaume anaweza kuwa mlevi na asiwe malayaLeo naamka na wanawake.
Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
Mwanaume wengi tu ni walevi lakini sio malayaVipi kuhusu mwanaume mlevi lakini si malaya? that question alone clearly shows gender bias on JF is real and once you mix in the topic of single mothers it gets worse
Oya huo uongo kawaongopee wale watoto wa Sunday schoolInawezekana lakini ni kwa nadra sana,ila mwanaume anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya
Acha uongo Mzee hio ni negative inategemea unamzungumzia nani katika mazingira ganiMwanaume wengi tu ni walevi lakini sio malaya
Ukiwa malaya unabalance vp nyegeIla wengine wanaweza kubalance nyege
๐๐๐พI am OUT. Uzi ushachafuka.