Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Usiogope, ni kama mafua tu hiyo.HIV ni nnje nnje shindii🤔 kuna mahali huwa nakaa naona watoto wazuri wakija chukua njugu , najisemea tu bora nilewe tu😅
Usiogope, ni kama mafua tu hiyo.HIV ni nnje nnje shindii🤔 kuna mahali huwa nakaa naona watoto wazuri wakija chukua njugu , najisemea tu bora nilewe tu😅
JidanganyeUsiogope, ni kama mafua tu hiyo.
Usinitishee🤣Jidanganye
Kweli tena , kuna wadada warembo wanatumia njugu , ukijichnganya tunakuimbia wimbo wa 320 kitabu tenzi za rohoniUsinitishee🤣
Dogo una akili sana ukijitulizawadada wa jf changien hoja mm sna la kusema ila mm kama mwanaume sipendi wadada wazur wakikejeliwa wanapokunywa bia maana bia sio uhun na bia iheshimiwa
Mlevi kabisa asipende dudu? Hiyo naona ngumu sana. Wanawake wengi wanaokesha kwenye mabar ni malaya tu!INawezekana ndio
Sasa si uanzishe wewe thread ya mwanaume mlevi asiye malaya. Mtoa mada hawezi kugusa kila angleVipi kuhusu mwanaume mlevi lakini si malaya? that question alone clearly shows gender bias on JF is real and once you mix in the topic of single mothers it gets worse
Dah..! Wadau hamna jambo dogoHao ndio wale walitajwa wanavalia miwani kwenye komwe huku tumbo, mgongo na kifua vikirundikana eneo moja ?
Kwan huwa nazingua kwenye kitengo au vipiDogo una akili sana ukijituliza
Acha uoga dogo.Kweli tena , kuna wadada warembo wanatumia njugu , ukijichnganya tunakuimbia wimbo wa 320 kitabu tenzi za rohoni
Napenda company iendani na mandhari pia!Kwakweli.
Bar ni kampan na ndio raha unaiona.
Hmm bora mi najinyweaga zangu ndani tu😃Ni kweli kwa mwanamke mazingira ya kwenda Bar mwenyewe ni hatarishi. Wanaume watakusonga songa. Weekend ndio nzur kukaa na marafik Bar. Ukute mwanamke awe mpenz wa mpira. 😂😂😂😂 anapata sababu zaid.
Kweli kabisa? Haa nipitie shemela☺️Inabid na ww ujifunze ili tukae bar zaid.
Leo Man city na Arsenal . Saa 12 jion. Jiandae ntakupitia mida ya saa 10.😊😊😊
Mkuu umeanza asubuhi sana!Gambe ni Gambe. Mhudumu lete pombe!
Hilo la wanaume lipo wazi. Wengi ni malaya. Hakuna upendeleo hapo, hili ni swali rahisi.Vipi kuhusu mwanaume mlevi lakini si malaya? that question alone clearly shows gender bias on JF is real and once you mix in the topic of single mothers it gets worse