Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya?

Pombe vs umalaya inategemeana na mtu husika status yake ya kiuchumi ndo ina determine mtu aweje,
 
Mwanamke akishakuwa mlevi,huyo tayari ni mpira wa kona.

Siijui tafsiri sahihi ya umalaya ila huyo mwanamke ataleweshwa na ataliwa na watamnawa sana huko.
 
Mlevi kabisa asipende dudu? Hiyo naona ngumu sana. Wanawake wengi wanaokesha kwenye mabar ni malaya tu!
Inawezekana akawa mlevi na asipende dudu naamini hilo ingawa wanasema pombe zinaendaga chini
 
Leo naamka na wanawake.

Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
Ingekuwa bangi sawa lakini pombe hapana maan pombe mwanamke akilewa inakimblia kule chini hata kama humtaki atakulazimosha yeye tuu
 
Japo sijui tafsiri sahihi ya mlevi ukitofautisha na mnywaji, lakini ngoja nikupe uzoefu wangu binafsi juu ya wanawake walevi.
Tuanze na huyu binti wa Kichaga hapa tumuite Maria, huyu nilimkuta kwenye nyumba niliyopanga miaka kadhaa nyuma. Huyu alikuwa binti mrembo kabisa, mweupe, sura ya kike, umbo zuri na hata sauti nyororo. Tatizo lake lilikuwa kupenda pombe, ukimkuta hajalewa ni mtu wa maana kabisa yaani unaweza hata kutamani awe mkeo.
Kabla sijajua kuwa ni mlevi nilianza kumzengea; wiki mbili baadaye nikagundua kuwa vijana wengi hapo mtaani wameshamla wakitumia udhaifu wake baada ya kulewa.

Wa pili huyu ni binti wa Kihaya, hapa tumuite Koku, huyu alikuwa mfanyakazi mwenzangu miaka hiyo ya zamani. Huyu alikuwa black beauty, kimo cha wastani, nyama nyingi na pozi za hatari. Huyu naye alikuwa mlevi tena wa vinywaji vikali. Weekend moja tukakaa kama wafanyakazi na kwenda mahali kuburudika, jioni ile kuna dogo aliondoka na Asimwe na kwa kweli alimla kiwepesi tu. Sababu ni ulevi.

Wa tatu huyu ni binti wa Kitanga; hapa muite Somoe, huyu naye nilikutana naye kwenye semina miaka ile Dodoma pale, baada ya semina tukawa na cocktail party, watu wakanywa na Somoe naye akanywa kupita kiasi, usiku ule Somoe hakulala chumbani kwake. Tatizo ni ulevi.

Ndio maana unaambiwa Kunywa Kistaarabu.
 
Stori yako inafundisha kuwa mwanamke akishakuwa mlevi, ataliwa na kila mwanaume automatically anakuwa ni mtu wa Europe (ulaya)
 
Back
Top Bottom