Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya?

Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya?

Vipi kuhusu mwanaume mlevi lakini si malaya? that question alone clearly shows gender bias on JF is real and once you mix in the topic of single mothers it gets worse
Hilo ni swali la assumptions tu siyo la kutetea hoja, ila kwa jinsi lilivyokaa ni rahisi kufikiri kuna bias.

Kuuliza maswali ya assumption maranyingi huonekana kama bias, ila ndiyo mwanzo wa kuchunguza ukweli.
Mfano angeuliza, kuna uhusiano gani uliopo kati ya mwanamke mlevi na tabia za umalaya?
Hapo ndiyo kuna bias, sababu swali linataka ufafanue uhusiano ambao tayari upo.

Tatizo ni pale tunapochukulia assumption kama ndiyo ukweli wenyewe.

Jibu la swali lake linakaa kipossibilities tu,
Mwanamke anaweza akawa mlevi aliyekubuhu na asiwe malaya, itategemea na mazingira aliyopo au maamuzi yake binafsi.
 
Vipi kuhusu mwanaume mlevi lakini si malaya? that question alone clearly shows gender bias on JF is real and once you mix in the topic of single mothers it gets worse
Nadhani sasa ni wakati wetu na sisi wanawake kujibu mashambulizi siku hizi wanawake tunasemwa sana yaani sijui hawana mada zingine za kujadili?
Muda huo anaropoka hivyo hata mia Hana mfukoni
 
Nadhani sasa ni wakati wetu na sisi wanawake kujibu mashambulizi siku hizi wanawake tunasemwa sana yaani sijui wahana mada zingine za kujadili?
Muda huo anaropoka hivyo hata mia Hana mfukoni
Poleni sana , ila kunyamaza ni hekima zaidi
 
wadada wa jf changien hoja mm sna la kusema ila mm kama mwanaume sipendi wadada wazur wakikejeliwa wanapokunywa bia maana bia sio uhun na bia iheshimiwa
 
Back
Top Bottom