AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Nazungumzia mwanamke sio malaya hapo ametajwa malaya halafu ametajwa mwanamke sasa mimi nimezungumzia mwanamke anaeweza kubalance nyege akiwa amelewa labda ungeuliza unabalance vipi nyege ukiwa umelewa? Mimi mwanaume mfano nikiwa mitungi akili hazihamii chini ila nisipokunywa nipo sober ndio shida inaanza akili zinahamia kwenye boxerUkiwa malaya unabalance vp nyege