AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Nazungumzia mwanamke sio malaya hapo ametajwa malaya halafu ametajwa mwanamke sasa mimi nimezungumzia mwanamke anaeweza kubalance nyege akiwa amelewa labda ungeuliza unabalance vipi nyege ukiwa umelewa? Mimi mwanaume mfano nikiwa mitungi akili hazihamii chini ila nisipokunywa nipo sober ndio shida inaanza akili zinahamia kwenye boxerUkiwa malaya unabalance vp nyege
Ila wanawake wote walevi ni malaya or what exactly is your point hereMwanaume wengi tu ni walevi lakini sio malaya
Watu wanapitia mengi na hao wa namna hiyo hawana tena hamu na ngono.. Anaenda bar analewa kwa raha zake anarudi kwakwe kupumzisha fuvu na kuahirisha stress till next dayLeo naamka na wanawake.
Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
Tafsiri yake inaturudisha miaka ya 1800 huko na historia yake ilikuwepo tangu miaka ya 1602 maana yake nini?Malaya maanake nini?
Duhh VERBOSE una stressπ«’
Nzuri tu shem, missed u more π₯°Shem shem. Za siku ming?. I miss You.
Jamaa kakoment ma-options mengi ππππ.
Mimi mnywaji ila napenda kunywa ndani shem! Uko bar labda niwe na company kwa kweli.. solo date ilishanishinda kabisaπ€¦π½ββοΈKuna wanawake Ulevi uko kwenye Damu (hasa wanawake wa Kichaga) na sio Malaya.
Unaitafsirije mlevi na malaya kwanza
Ukitaka kumla mwanamke yeyote kirahisi subiria alewe au mleweshe kwanzaLeo naamka na wanawake.
Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
Basi kwa mujibu wa maelezo ya tafsiri Yako ya mlevi nikihusianisha na kwa matokeo ya uraibu wa ulevi, Mwanamke kuwa mlevi automatic atakua malaya, kwa mawazo yanguNi muhim kujua hili. Hasa la Mlevi.
Maana ninavyowaona mm walevi weng hata nguvu za Kiume hawana.
Kwangu def ya Mlevi ni yule ambaye anakunywa pombe sana /wenye uraibu .
Na hasa wale ambao daily wamelewa. Kila muda ananuka pombe.
Mimi mnywaji ila napenda kunywa ndani shem! Uko bar labda niwe na company kwa kweli.. solo date ilishanishinda kabisa
Basi kwa mujibu wa maelezo ya tafsiri Yako ya mlevi nikihusianisha na kwa matokeo ya uraibu wa ulevi, Mwanamke kuwa mlevi automatic atakua malaya, kwa mawazo yangu
Well well MkuuIla kwa mwanaume ni vice versa.
walevi hawana nguvu za kiume.
Mifano ni Kule Rombo. Wale ndio walevi.
Umalaya pia ni tabia ya mtu.
Ila Ulevi unachangia pakubwa.
Sababu ya ushawish wa pombe na mazingira.
kuna pombe ukinywa zinashuka chini ππππ unapaya nyege za ajabu.