mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
- Thread starter
-
- #21
So unataka kusema mbowe hana heshima sawa na mimi hapa, yeye ana pesa , kiongozi mkubwa, mimi nin ndoa tu ila maisha magumuKiufupi hakuna zaidi ya heshima
Kwani hana Mke? Ni bachela Sugu au?So unataka kusema mbowe hana heshima sawa na mimi hapa
Ndoa inaleta heshima, furaha, malezi mazuri ya watoto, uhakika wa papuchi, usaidizi katika maendeleo nk
NB
Hayo yote Kwa sasa yanakosekana Kwa asilimia kubwa na ndio maana watu wanaona ndoa hazina maana na ndio sababu hadi imekimufanya uulize Hilo swali
dronedrakeNimekuwa nikijiuliza Nini Cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa , kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa, siungani na wale wa kataa ndoa , ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1.usalama wa kijamii na kifedha. 2.furaha nk , najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue mbowe, aliko dangote, diamond platnum, myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vip wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa , mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na gerald amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo kayumba school, ada ,nguo vinamtesa
somo linawaingia mmoja mmoja
This is stupidity of high levels!!!Katika kabila letu, kijana wa kiume huwa anahama kutoka kundi la watoto pale tu anapooa. Hivyo ndoa ni ticket ya kuingia kwenye kundi la WANAUME.
Madhara ya kutokuoa katika ngazi ya ukoo ni kutoshiriki katika vikao vya kimaamuzi vya ukoo. Usipooa basi jua maamuzi yote yanayokuhusu katika ukoo utafanyiwa na wanaume wenzako waliooa maana wewe utahesabika kama mtoto hata kama utakuwa na miaka 70.
Mbowe hana mke????😀😀... Sasa angeruhusiwa vipi kugombea uraisi? sidhani kama hapa pana ukweli. By the way, wanawake siku hizi wamekuwa watu wa ajabu sana, kuanzia kwenye mahusiano tu wamekuwa wanayachukulia kama sehemu ya kupiga hela, hakuna mapenzi ya dhati mda wote wanawaza tu kupiga vizinga vya hela. Kwa staili hii ya wanawake wa siku hizi, sidhani kama huku JF kuna mwanaume anayeona haja ya kuwa ndoa. Wanawake jirekebisheniNimekuwa nikijiuliza Nini Cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa , kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa, siungani na wale wa kataa ndoa , ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1.usalama wa kijamii na kifedha. 2.furaha nk , najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue mbowe, aliko dangote, diamond platnum, myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vip wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa , mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na gerald amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo kayumba school, ada ,nguo vinamtesa
Umri gani?Nimekuwa nikijiuliza Nini Cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa , kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa, siungani na wale wa kataa ndoa , ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1.usalama wa kijamii na kifedha. 2.furaha nk , najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue mbowe, aliko dangote, diamond platnum, myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vip wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa , mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na gerald amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo kayumba school, ada ,nguo vinamtesa
Cute umenifurahisha leo Mchaga weweNilisikia paaah!! Akasema aah!!
Mnajua maswali mengine mnaweza kuwauliza wazazi wenu nyumbani..!!
Kote huko kwenye 55!!! Muulize kwa sasa tumbo likichachamaa anafanyajeMkuu ndoa sio lazima kufunga ila Kuna faida kubwa na nyingi sana mtu kufunga ndoa na kuishi na mke wake kuanzia kwenye malezi chanya ya familia hadi kwenye matatizo kama ugonjwa,,,kwa Sasa huwezi ona faida ya ndoa kwakua ni kijana ila ukishafika kuanzia miaka 55, maradhi yameanza kusumbua, familia unashindwa kuihudumia, hakuna ambaye atakufanyia baadhi ya vitu zaidi ya mke wako,,,unapooa ni kama unatengeneza mazingira salama ya baadae kwako na familia Yako,,jambo muhimu jitahid tu usikosee kuoa.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ukiwa na hiyo level ya stupidity ndio utakuwa na mtazamo kama wako. Ila wahenga walikuwa na akili sana kwenye hili maana kupitia huu utaratibu wameshape jamii na ni nadra kukutana na vijana wa hovyo wa kataa ndoa katika jamii yetu.This is stupidity of high levels!!!